Recent content by kamanyora

  1. kamanyora

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa Mtwara Cohas

    salama,wewe umeshapata joining instruction?
  2. kamanyora

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    nimekuwa nikiwatumia hili swala langu sasa unaenda mwezi wa pili sijawekewa umeme toka nilipie service line! mtu wenu wa G/Mboto alinipigia simu mara moja wiki 2 zilizopita matokeo yake ananiambia kwamba hana la kufanya! kwani nyie Tanesco mna matatizo gani nimeshalipia karibia miezi 2 umeme...
  3. kamanyora

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco kuna shida gani? nimelipia umeme mwezi mmoja na nusu umepita sijafungiwa umeme! Humu nimelalamika wee lakini hamna hatua yoyote: Wilaya:Ilala Kituo:G/mboto Simu: 0622239935
  4. kamanyora

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Muda mwingine hawa jamaa wanaomba details ukishawapa hawarudi na majibu wala hawafanyi ufuatiliaji!!
  5. kamanyora

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    hii sijapata jibu kutoka kwenu( Tanesco)
  6. kamanyora

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Walaya: Ilala Kituo: G/mboto
  7. kamanyora

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    REF:FB26731610951568 umefanikiwa kulipia Bill Number 600 BILL:991032319277 TZS337760.84 RECEIPT:921018028562434 2021-01-18 09:32:48
  8. kamanyora

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwa kawaida mtu akilipia umeme (single phase) inatakiwa afungiwe umeme baada ya muda gani( Dsm)
  9. kamanyora

    JamiiForums Tanzania Ramani za nyumba na ujenzi

    kama unayo picha ya nyumba ya vyumba viwili chini,sebule,choo na jiko na juu(gorofa) chumba kimoja au viwili naomba uweke picha ya nje nione ndo nikufuate inbox
  10. kamanyora

    JamiiForums Tanzania Karibu ujenge nyumba ya ndoto yako kwa bei nafuu

    Hii nyumba vyumba vingapi? Na sh ngapi mpaka kuikabidhi?
  11. kamanyora

    JamiiForums Tanzania Karibu ujenge nyumba ya ndoto yako kwa bei nafuu

    Hii nyumba imegarimu bei gani tafadhali
  12. kamanyora

    JamiiForums Tanzania Nimekata shauri, naandika wosia

    wosia ni kitu muhimu sana,hii itaepusha migogoro isiyo ya lazima pindi haupo duniani
  13. kamanyora

    JamiiForums Tanzania Nimekata shauri, naandika wosia

    wosia ni kitu muhimu sana,hii itaepusha migogoro isiyo ya lazima pindi haupo duniani
  14. kamanyora

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ngumu kumeza

    Kuacha mke anaechepuka na ushahidi unao ni sahihi! Lakini swala hilo Lina ugumu kidogo kama mke umeshazaa nae na kuna Mali mmechuma pamoja kwa maana ya nyumba gari mashamba,pukurushani yake Sio ya kitoto! Kumuuliza mkeo ni jambo Jema lakini usitegemee kama atakubali! Mwanamke hata umkute mtu red...
Back
Top Bottom