Recent content by kamandaz

  1. K

    Wanachadema na viongozi wake wamepata hofu kubwa

    Mrundi sio mlundi
  2. K

    Wito Kwa Wapinzani Wakweli; Msishiriki Msijadili Chochote kuhusu Zitto Kabwe

    Sasa uhuru wa maoni upo wapi?haya matamko mpaka huku yapo?labda toa maoni tusiwashabikie wanasiasa wote ;lkn kwann zitto pekee? Acha watu watoe maoni yao kwa uhuru muhimu sheria za nchi zisivunjwe
  3. K

    Zitto Atembelea eneo la ajali na kushiriki mazishi Iringa

    Mlitaka akauze mandazi alipotoka chladema
  4. K

    Sakata la Gwajima: Serikali inapoamua kukumaliza

    Issue apeleke nyaraka zikaguliwe
  5. K

    Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

    Tatizo la wanamapinduzi wa tanzania na tunaojiita wanamapinduzi wa kweli;usaliti kwetu ni mtu anapopishana mawazo na ww;hata kama alianza mipango zamani wakati ule na wakina prof mkumbo na mwigamba kwa ninachokijua mm;ambacho kipo wazi na kwangu mm bado ule c usaliti ni mawazo tu ambapo wangekaa...
  6. K

    Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

    Ndugu yangu mageuzi/mapinduzi yanatafsirika kwa maana nyingi tofautitofauti na ndo maana hata yeye zito na wengine wanajiita wanamapinduzi na sio kwa maana moja unayooamini ww au mm. Na ili mwanamapinduzi ushinde huwezi kushinda kama unavofikiri;ccm wenyewe pamoja na kuwa kwenye game muda lkn...
  7. K

    Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

    Kwa kifupi zito alishajua nn kitamkuta; na chadema walikuwa hawamtaki kitambo;sasa ulitaka afanyaje? Sisi binadamu huwa tunapenda ukigombana na mtu mfano mke/mume akimuacha mwenzake anataka amuone kachoka kapauka;uanze kujisifu bila ww hawezi kuishi. Chadema muacheni zito afanye yake na nyinyi...
  8. K

    Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

    Ndo umeona sasa
  9. K

    Kova: Ole wenu wafuasi wa Gwajima

    Nashauri ndugu zangu msiende na maandamano yenu kwanza hamjazoea;na pia gwajima yupo na wakili wake na haendi kuchinjwa.mahojiano ni kitu cha kawaida tu
  10. K

    Nimeanini UDSM ni cha kipekee Tanzania, Hawana mgombea, Hawajaenda kumshawishi yeyote

    Ok kila la heri ila usije ukakuta kifo(ask kolowa university graduate) akawa ndo boss wako na tena ana content za kutosha
  11. K

    Nimeanini UDSM ni cha kipekee Tanzania, Hawana mgombea, Hawajaenda kumshawishi yeyote

    Wasomi badilikeni;kwa mawazo yako au kwa fikra zako kama msomi ungetaks vyuo vyote vifungwe kibaki mlimani? Unafikiri maendeleo ya nchi hii yataletwa na udsm peke yake? Kila chuo kina distinguishing character yake; madaktari wa binadamu wanatoka udsm;kilimo je? Kigezo chako cha kutokwenda...
  12. K

    Waislamu watoa tamko, kusomwa kila Msikiti Ijumaa

    Heri yenu nyinyi mnaolea watoto wa mapadre afu mnatuzuga eti watoto yatima. Watoto wa mitaani kwani wote waislam?nenda zanzibar kama utakuta watoto wa mitaani kama arusha na mwanza? Ombaomba maarufu nchini matonya nae alizaliwa na muislam?kisha akabadili dini? Lkn ni mawazo yako mzee wa...
  13. K

    Uhusiano kati ya Serikali, CCM na Kanisa Katoliki Tanzania.

    Nakubaliana na wewe ukaribu wa kanisa na serikali na hasa kanisa katoliki na ndo maana hata ile memorandum of understanding kati ya kanisa na serikali ya kusaidia miradi ya kanisa na hasa kanisa katoliki mfano ya wazi serikali kusaidia uendeshwaji wa hospitali za kanisa za bugando na kcmc. Sio...
  14. K

    Jana nilitangaza rasmi nia yangu ya kugombea ubunge jimbo la Singida Mjini

    Tuachane na ukabila;tanzania yote ni ya kwetu na hayo mambo ya mgombea kuwa ni lazima awe mzawa wa eneo analotoka huwa sikubaliani nalo kwani watu wenye uwezo huwa wanakosa nafasi kwa kigezo hiki na anachaguliwa mtu asiyeona mbali. Ila mtangaza nia kachemka uwasilishaje wake inabidi...
Back
Top Bottom