Recent content by Kamanda Mwainunu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Ubungo Plaza kwenye Kongamano la iliyokua Tume ya Kukusanya Maoni ya Jaji Warioba

    ccm mmethibitisha kushindwa kwenu sisi Watanzania tulio wengi tunamuunga mkono Mh. Warioba hajaumbuka chochote alieumbuka ni wewe na wajinga wenzako ambao mtakufa bila kujitambua
  2. K

    JamiiForums Tanzania Namkataa Paul Makonda, sijamtuma Bungeni

    Huyu Paul Makonda mimi pia sijamtuma na hiyo Katiba yao ni yao hao hao wa aina yangu hatumo na Mungu atasimamia ili dhambi hii wanayoendelea nayo ifike mwisho waumbuke. Huyo Sita anajifanya kushangaa kwanini mtu apige kura ya hapana kwa sura zote na ibara zote kwanini ashangae mtu anapopiga...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ni maandamano

    Anae ona maandamano ni kupoteza muda aendelee na shughuli zake. Sisi tutaandamana kufikisha ujumbe tutakaoona unatakiwa kupelekwa lakini hakuna namna ya kuufikisha, hapo tutaandamana. Watanzania wako tayari kuandamana huyo anae taka kuleta sheria ya kupinga maandamano ajichunguze yeye na...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Zarina Madabida alishukia gazeti la Nipashe

    Huyu mama amethibitisha hujuma na ubadhilifu wake na kiwanda chake, anatumia Ubunge kujiwakilisha yeye na Kiwanda chake. Nilimuuona jana akitoka povu ndicho alichotumwa na mumewe kusema bungeni. Sasa tfda mnatakiwa kumfikisha mahakani kwa tuhuma nzito alizowatuhumu maana amesema ana ushahidi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

    Namshukuru Mungu kwa ajili ya kuweka ukweli huu bayana ila Tuendelee kuomba Mungu ili wanaofanya dhambi hizi za kutesa watu na hata kuwaua kwa mateso wajulikane na Mwenyezi Mungu awaadhibu Watanzania wakishuhudia. kuliko hizo mbinu zao za kishetani za kubambikiza uovu kwa watu waadilifu kama...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyotokea GEITA: Nini kifanyike kuzuia na kuepusha tofauti za kidini hapa nchini??

    mkuu wa mkoa. wasira ndio sababu kubwa ya shida hii miaka yote tulikula nyama kama wewe huna imani na mwadaaji wa chakula ulichokuta usile shida iko wapi. mbona mie sinywi maji zaidi ya niliyoandaa mwenyewe
  7. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA & M4C: Kuelekea 2015 yakemeeni haya Kagera!.

    Nakubaliana 100% na mtoa post. Pia ni kweli Muleba hasa Muleba Kaskazini kuna mgogoro mkubwa, nafikiri mtoa post anaelewa vizuri. Chadema ni ya Watanzania Wote wanaotaka mabadiliko yakweli kutoka kwenye minyororo ya ukiritiba wa kifisadi tuliyonayo sasa. Tatizo kubwa huku kuna vijifisadi dagaa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wailiza CCM Kagera. Prof. Anna Tibaijuka na Charles Mwijage Wamulikiwa Taa Nyekundu!

    Wananchi vijijini wanahitaji elimu ya uraia na kuwajengea ushujaa na ujasiri wa kupambana na hawa wanaojiita viongozi wa Serikali za vitongoji na vijiji MAGAMBA maana huko vijijini wanatishwa sio kawaida ndio sababu ya hawa CCM kujiaminisha kuwa wana watu. Sehemu tuliyotoa elimu na kuwajengea...
Back
Top Bottom