chuki
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,715
- 534
Haaaahahah..., majinga ya humu ni pamoja na wewe? Sasa tulia mkuu toa hoja yako basi, huku jf kila mtu anateleza tu.
Ahsante kwa ushauri mkuu, hapa jukwaani kunaweza kuwa na hoja nzuri lakini wachangiaji wengi wamekaa kisiasa zaidi, wakati mwingine unaweza ukatoa mchango mzuri lakini cha ajabu utaambiwa nenda kalipwe Lumumba Elf 7000/- ofisi zenyewe sijui zilipo, mimi niko Mwanza.