Recent content by KAMANDA MESHACK

  1. K

    CCM yapata pigo Mwanza, Mwenyekiti wa Mtaa wa nera ajiunga na CHADEMA

    CHAMA CHA MAPINDUZI CCM leo kimepata pigo katika Jiji la Mwanza baada ya mwenyekiti wake wa mtaa muhimu wa Nera kujiunga na CHADEMA. Bwana ABUBAKARI SEIF ambaye alikuwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Nera kupitia CCM amejiunga rasmi leo kwa kukabidhiwa kadi ya CHEDEMA katika ofisi za Kanda...
  2. K

    Polisi wawakamata viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Mwanza

    kutokana na maandamano ya kupinga Bunge la katiba Polisi mkoani Mwanza wamewakamata viongzi wa chadema wa ngazi mbali mbali mpaka sasa walio kamatwa ni Mwenyekiti wa Wilaya ya Nyamaghana,Katibu mwenezi Wilaya ya Nyamaghana,Mwenyekiti wa vijana Mkoa wa Mwanza,Matron Wilaya ya Nyamaghana,RB kata...
  3. K

    CHADEMA yatangaza maandamano makubwa mkoani Mwanza kesho

    CHADEMA Mkoani Mwanza imetangaza maandamano ya kupinga Bunge la katiba linalo endelea maandamano yatakayo fanyika kesho tarehe 25/09/2014, akitangaza maandamano ayo mbele ya waandishi wa habari mwenyekiti wa mkoa wa mwanza ADRIANI TIZEBA amesema CHADEMA imepeleka barua za taarifa ya maandamano...
  4. K

    Maono yangu kwa wajumbe wa mikutano mikuu ya BAVICHA, BAWACHA na chama cha CHADEMA taifa

    MAONO YA MTOTO WA KIJIWENI. KWANINI TULAZIMISHE KUONGOZA? Na Meshack Micus. Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema kimemaliza chaguzi zake katika ngazi za Misingi hadi Mikoa na sasa kinakamilisha chaguzi ngazi ya Taifa. Nimesikia watu wana wekeana mapingamizi, nimeona makumi...
  5. K

    Naibu meya wa Manispaa ya Ilemela Mwanza afukuzwa

    Naibu Meya wa manispaa ya Ilemela Mwanza [CCM] amefukuzwa kwenye wadhifa wake na Meya wa Manispaa bwana Matata[diwani wa mahakama]. Sakata hilo ambalo linasemekana linatokana kutoelewana baina ya Meya na Naibu wake hasa baada ya kushindwa kugawana maslai ya utoaji wa tenda[ 10%] . Kutokana na...
  6. K

    Hongera Mheshimiwa James Mbatia kwa kuwafundisha CHADEMA jinsi ya Kuandika Maoni ya Upinzani

    Mtoa mada anamasilahi na wizi na ubadhirifu uliotamalaki nchini. Chadema haina nafasi ya kusifia ccm wala kuishauri ccm. Kazi ya chadema ni kuiumbua ccm na mawaziri wake kwa lengo la kuwachongea kwa wapiga kura. Na ukiona adui anakusifia ujue umepotea njia Cdm viva!
  7. K

    CHADEMA yaingiza Pikipiki 252 kuimarisha chama

    Safi sana. Hii haijawahi kutokea katika Afrika. CDM sasa ni mbele kwa mbele.
  8. K

    Maajabu ya Tanzania

    Tatizo ni ccm . Tukiiondoa tu mambo yatabadilika.
  9. K

    Majibu ya Dr. Slaa kwa mwanachama kuhusu kukwepa mazishi ya Mama Zitto

    Msiba ni suala binafsi. Hata mzee Masinde ambaye ni mjumbe wa kamati kuu na ni mdhamini wa chama alifiwa na mama mkwe juzi juzi tu hakuna hata kiongozi wa chama aliyeshiriki isipokuwa wale wa mwanza tu. Mbona hakulalamika?.
  10. K

    Kigogo mwingine CHADEMA ajiunga na CCM leo

    Hao wamepita njia panda kupumzika wanaenda kwenye chama cha nyota 5 na maana yake ndio hiyo
  11. K

    Kwanini CCM wanafanya ziara vijijini tu?

    CCM Imekumbuka shuka wakati kumekucha lazima 2015 waondoke. Miaka 50, hatuwezi kukubali: 1. chama kile kile 2. Watu wale wale 3. Akili zile zile 4. Wizi ule ule 5. Ulaghai ule ule 6. Mbinu zile zile 7. Sura zile zile 8. Sera zile zile 9. Kashifa zile ziole
  12. K

    Kikwete azidi kupata sifa kimataifa, aalikwa New York

    HII ndio kazi ya ile kampuni ya marekani iliyoasisiwa baada ya JK kupigwa kwenye uchaguzi wa 2010.
  13. K

    Ridhiwani Jakaya Mrisho Kikwete, Mtetezi wa ajira kwa vijana

    Sio kweli, Ridhiwani uache uchofu wa kufikiri. Unagangania mashirika yaliyoanzishwa na Baba wa Taifa yakaridhiwa na Mwinyi akauza yakabaki mkapa akauza yakabaki Baba yako anamalizia kazi. Tunataka vijana critical wa kuibua vitu vipya na vyanzo vipya vya kutengeneza ajira. Je unajua kuwa kilimo...
Back
Top Bottom