Kwanini CCM wanafanya ziara vijijini tu?

nakumbuka siku ile malori yalisomba wanaccm kiasi kikubwa kuna picha wakati mkutano umeisha kulikuwa na vita maana kuna watu waliahidiwa buku kumi wakakosa , walikataa kupanda mabasi na malori yaliyoleta.Kujaza uwanja wa jangwani kwa kuletwa na malori na mabasi , maanke umati huo ulilipwa uliuje kujaza uwaja wa jangwa bali haikuwa dhamira yao kushabikia ccm.maake bila pesa wasingekuja.

Asante sana,
 
CCM Imekumbuka shuka wakati kumekucha lazima 2015 waondoke.
Miaka 50, hatuwezi kukubali:
1. chama kile kile
2. Watu wale wale
3. Akili zile zile
4. Wizi ule ule
5. Ulaghai ule ule
6. Mbinu zile zile
7. Sura zile zile
8. Sera zile zile
9. Kashifa zile ziole
 
Back
Top Bottom