Recent content by kamanda Happy

  1. kamanda Happy

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Kila kitu kipo sawa, labda upande wako wewe ndio hauko sawa kwanza mizigo hatusubiri bandarini ndio maana kuna makampuni ya Clearing & Forwarding.
  2. kamanda Happy

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Namimi ni mtumiaji mkubwa wa bandari ya Dar niseme tu ukweli, ufanisi katika bandari ya Dar umeimalika sana, napata mizigo yangu kwa wakati, usalama umeimalishwa, hakika napata huduma bora kabisa. Sidhani kama wewe mwenzangu ni mtumiaji kweli wa bandari
  3. kamanda Happy

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Kwa kifupi Mzee wa KPA anajitekenya alafu anacheka mwenyewe.
  4. kamanda Happy

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Yaani uwe na huduma mbaya alafu bado uwe na ongezeko la wateja, utakuwa uchawi basi. Mimeli inaongezeka sababu kuna efficiency, ndio maana pamoja wao kuwa na migati mingi lakini bado tunakula nao sahani moja
  5. kamanda Happy

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Mama Samia Rais wangu kipenzi waongezee gati bandari ya Dar pato la taifa litaongezeka maradufu. Bandari ni mgodi. Hongereni TPA, kazi iendelee
  6. kamanda Happy

    Bandari ya Dar es Salaam sasa inafanya kazi 24/7

    Utendaji chini ya kiwango, usalama mdogo wa mali za wateja, uchache wa magati, lakini vyote leo hii vimebadirika ufanisi umeongezeka, usalama wa mali za wateja ni wa uhakika, utendaji umeboreka ndio hayo tunaona hali kubwa za waranyakazi wanapiga kazi 24/7
  7. kamanda Happy

    Bandari ya Dar es Salaam sasa inafanya kazi 24/7

    Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Kazi iendeleeeee!
  8. kamanda Happy

    Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    Makusanyo ya TRA kwa kipindi ch nusu Lakini number bado zinaibeba Lakini number bado zinaing'arisha bandari yetu kama 40% ya makusanyo ya TRA yanatokana na bandari na kwa mujibu wa Kamishna mkuu wa TRA makusanyo kwa mwezi Desemba 2024 yameongezeka kwa 9.2% kutoka 2.79 tril mwaka wa fedha...
  9. kamanda Happy

  10. kamanda Happy

    Askofu Methodius Kilaini naye alimegewa 80m za mbia wa IPTL

    Kuna shida gani mtu akitoa fedha zake na kugawa kwa anaye jisikia kumpa? wangapi wanatoa mamilioni au kwa kuwa katoa Rugemarila? Rugemarila ni Milionea kama siyo Bilionea, kutoa visenti hivyo ni kitu kidogo kwake. Kuuza shea za kampuni yake imekuwa shida?
  11. kamanda Happy

    Werema, Maswi, Mboma wapumulia mashine

    Ndugai aliitaka PAC kuifanyia uchambuzi na kutoa mapendekezo. Hata hivyo, aliitaka ihakikishe inajikita katika kutumia ushauri uliotolewa na CAG na Takukuru katika kutoa mapendekezo kwa sababu waliwahoji wahusika wote."Baada ya kukamilisha kazi, taarifa irudi kwangu ili kujiridhisha kabla ya...
  12. kamanda Happy

    David Kafulila amfurahisha Kikwete

    Good Tumbiri! kama kweli umetimiza hilo la maabara, sababu kila mwanasiasa akiwa nyuma ya kipaza anaongea anavyoweza. Lakini kwenye escrow :A S thumbs_down:. Mkuu zile fedha ni za IPTL, lakini majibu mazuri yatatoka kwenye ripoti ya CAG.
  13. kamanda Happy

    Zitto na Filikunjombe wanatumiwa na Kenya na Uingereza kuvuruga na kudhoofisha Uwekezaji Tanzania

    Mmechelewa kujua janja ya hao wapigaji, washapiga sana chezea zitto na kafulila wewe.
  14. kamanda Happy

    Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

    Lakini kwanini hawa wanasiasa wanatutumia sisi watanzania kwa maslahi yao binafsi, kwani ukiwa mwanasiasa lazima ung'ang'anie maskendo ndio utoke kisiasa? Wajibika kwa wananchi wako vizuri ndio wananchi wanachotaka, as a leader kazi yako ni kuonyesha njia kuwatoa wananchi kwenye matatizo yao ya...
Back
Top Bottom