Recent content by Kamanda Francis

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tamko la BAVICHA Serengeti kuhusu Uandikishaji wa BVR Nchini

    Ni kweli kabisa Mkuu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tamko la BAVICHA Serengeti kuhusu Uandikishaji wa BVR Nchini

    Wakuu, Mwaka huu wa Uchaguzi 2015, tutashuhudia mengi sana, ila mwisho wa Siku, UKAWA wataiongoza Nchi kwa Kura za kishindo.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tamko la BAVICHA Serengeti kuhusu Uandikishaji wa BVR Nchini

    UKAWA tumaini la Watanzania October 2015. CHADEMA, Tulianza na Mungu, Tutamaliza na Mungu. Piiiiiipoooooooozzzzz.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tamko la BAVICHA Serengeti kuhusu Uandikishaji wa BVR Nchini

    TAMKO LA "BAVICHA SERENGETI MARA" KUHUSIANA NA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WA WAPIGA KURA KWA MFUMO WA BVR NCHINI. TAARIFA KWA VYOMBO VYOTE VYA HABARI NCHINI Ndugu Waandishi wa habari, Awali ya yote niwapongeze kwa juhudi na jitihada zenu mnazozionyesha katika kuhakikisha kwamba Wananchi waliomo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa ashuhudia mjamzito akizidiwa foleni kujiandikisha BVR; atoa maagizo

    Tulia DAWA ikuingie vizuri wewe ACT-Wanafiki
  6. K

    JamiiForums Tanzania Oparesheni shahada mkononi

    Duh!... Chama changu (CHADEMA) hadi raha! Eti inaitwa OPERATION...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Njooni Tuipange Serekali ya Ukawa baada ya October 25

    Kwa hiyo ni afadhari mpambe wa MAFISADI Rostam Aziz na Chenge
  8. K

    JamiiForums Tanzania Njooni Tuipange Serekali ya Ukawa baada ya October 25

    Tulia DAWA iingie kwanza wewe ACT
  9. K

    JamiiForums Tanzania Updates: Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA, Tanganyika packers Kawe jijini Dar

    Mwenye CLIP ya Video: Prof.Jay jana Tanganyika Packers atupie hapa wakuu
  10. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA chezeni turufu hii jimbo la Serengeti

    Duh! Mkuu, hii imekaa poa sana 41% ya Kura zote kwa 5% ya Kura zote wapi na wapi! Asee CHADEMA noma!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA: Pazia la kuchukua na kurejesha fomu za kugombea lafunguliwa

    Congrats sana Mkuu Tumaini Makene
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kitabu Kipya cha Mbunge Maarufu Aliyefukuzwa CHADEMA Hiki Hapa Live!!

    Nami nimeona Mkuu Molemo! Promoter wake ni W. J. Malecela, hapa kweli kuna ukweli? Kweli tuwaache wafu wazikane.
  13. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yalaani kufukuzwa Chuoni Waziri Mkuu wa serikali ya wanafunzi Philipo Mwakibinga

    Duh! Philipo Mwakibinga nimemkumbuka sana tangu tukiwa kwenye Uchaguzi wa Kitaifa pale Mlimani City Jijini Dar Es Salaam. Namtia Moyo sana aendelee kupambania haki kwa manufaa ya wengi, hakika 2ko pamoja naye. Francis Boniface, Mwenyekiti S/Kijiji kupitia CHADEMA.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

    Kata za Nyansurura, Machochwe, Nyamoko, Rung'abure na Kebancha huku Serengeti Mara, hadi hivi sasa Saa 12:20pm, Karatasi za kupigia Kura hazijafika Vituoni bila taarifa toka kwa Viongozi wa ngazi za juu, tunapohoji kuhusu sababu za kucheleweshwa kuanza kwa Uchaguzi, wanabaki wanatupiana Mipira...
  15. K

    JamiiForums Tanzania CCM hoi Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Kata ya Nyansurura Serengeti Mara

    Wakuu, Kamanda wenu Francis Boniface nipo tight kuliko kawaida nikipambana na wezi wa CCM huku Vijijini Serengeti Mara, naamini ni kitambo sipo hewani licha ya kwamba nafuatilia kwa kina maswali ya Kitaifa na yale ya Kichama hususani Sakata la Escrow Account ndani ya Bunge. Kubwa zaidi napenda...
Back
Top Bottom