Recent content by Kamamou

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NIPO NJIA PANDA

    Asante Nilivyoumizwa, uchungu nilioupata sikuhitaj kumsababishia mwingine kwa kutokujua.
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NIPO NJIA PANDA

    Mimi ni binti wa miaka kadhaa, ninafanya kazi kwa maana ya muajiriwa, nina mahusiano, sina mtoto Kiafya Status yangu ni HIV+ (ugonjwa unawapata binadamu so zngatia kauli ikiwa wewe ni binadamu, ila kama wewe sio binadamu niongelee vibaya). Tangu nimegundua nina hali hiyo huu ni mwaka wa 5 sasa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania CAG sio Muongo kwa vigezo hivi

    Mihemko imemfikisha hapo, katka harakat ya kutetea ugali wake anajikuta anajidhalilisha Hana fact hana documents
  4. K

    JamiiForums Tanzania Jamii ya waarabu wanaongoza kwa kuwa na huruma duniani

    Waarabu labda wa shinyanga[emoji23][emoji23][emoji23] sio waarabu hawa tunaowajua sisi....kama una taarifa zaid endelea kutujuza
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mara nyingine maisha ya ndoa ni Vita. Huyu jamaa sijui nimfanyeje?

    Hekima ya Suleiman hii
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hata kama ni kuosha vyombo, niko tayari. Nahitaji kazi yoyote ile nitakayo imudu.

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hata kama ni kuosha vyombo, niko tayari. Nahitaji kazi yoyote ile nitakayo imudu.

    Nahitaj kijana wa kuosha vyombo, sa mbona wanituliza chief akat wewe muosha vyombo mzuri tu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hata kama ni kuosha vyombo, niko tayari. Nahitaji kazi yoyote ile nitakayo imudu.

    We si unatafuta kuosha vyombo? Unachagua Umuoshee nani tena? New on JF with a new ID kaka be wise[emoji23] Anyways got you brother, your target ni old members only
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hata kama ni kuosha vyombo, niko tayari. Nahitaji kazi yoyote ile nitakayo imudu.

    We Jamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajarbu kuwa smart nmecheka aet smu ndo nmeitoa kwenye chaji ngoja nikupigie.
Back
Top Bottom