Kwani anagombea wasira? Anaposema kuwa watanzania wafanye maamuzi katika uchagu ujao, kwani anagombea lisu na wasira? Mbona kama huyu mzee kaanguka mdahalo hata kabla hawajaingia ulingoni?
Kaka kama umefeli mtihani acha kulia lia huku njia iliyotumika ndio sahihi kapisa na yauwazi, hakuna njia nyingne halali zaid ya hii kama wewe nikilaza ukategemea kwenda kufelisha watoto wetu umefili kabla ya kuwafelisha
Daaaah inasikisha kwakweli na kuhuzunisha na maneno kama hayo serikali ipo na inayasikia kiukweli inasikitisha, mm nimekuwa nikisikia mengi watu wanatoa ushuhuda wa kitaperi lakini serikali haichukui hatua, hata huyo anaetoa ushuhuda huwa baadae akikaa anajiuliza kuwa hivi niliongea nini kile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.