Naomba unichagulie jibu moja hapa mtu kuchora Tattoo ..au kuwa shoga ..au kuwa teja kipi ni bora mkuu ?
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
muacheni mzee apmzike tupambane vijana haya yote yanatokea kwa sababu ya unafiki mwingi tunaoufanyaga viongozi wa bara
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Nakumbuka niliwekwa katikati ya tairi la tipa nikajikunja freshi likawa linasukumwa maeneo ya bondeni Baba kilichonikuta sitokisahau .. Dah ila maisha yale yalikuwa na ushirikiano sana kwa mana mimi nimetoka kutupwa kwenye miba na pira mwenye zamu yake aliefata na yeye akajikunja akasukumwa hadi...
kaka maisha ya tanzania ni magumu sana mkuu u binafsi au kuona mwenzio anakufa kwa kukosa kula hili ni kawaida sana kwetu,,,HUYU JAMAA KAIBA PESA NYINGI SANA KIPINDI HIKI CHA MIAKA MITANO ILIYOPITA SISI WAJASIRIA MALI WADOGO WADOGO TUMEKIONA CHA MTEMA KUNI,,
Aisee humu ndiyo mana tumenyooka vya kutosha yani mtu u aiba 1.6 millions of Dollar unakaa nazo home.. mimi nilienda kuchenchi dollar mia300 niliandika maelezo kama nataka kutoa mtu roho kubabake
Bunny Wailer alishinda tuzo tatu za Grammys
Mwanamuziki huyo, kutoka Kingston, Jamaica, alikuwa mmoja waanzilishi wa bendi ya The Wailers pamoja na rafiki yake wa utotoni, Bob Marley.
Kwa pamoja, walipata umaarufu kimataifa kupitia nyimbo zao za reggae kama vile Simmer Down na Stir It Up...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.