wewe huna akili kama wabunge wa SISIYEMU,
Hebu niambie 2004 Waziri wa Elimu MUNGAI kipindi hicho alifuta masomo ya ufundi,biashara, kilimo na kuyachanganya Physics with Chemistry
lakini alivyowasilisha bungeni wabunge wa SISIYEMU Walishangilia na kuipitisha Bajeti kwa mbwembwe huku wakijua kbs...
Inawezekanakwa karne ya 21 wabunge wa SISIYEMU ni Jipu wanatakiwa kutumbuliwa,sisi tunatakiwa kuona live kama wabunge wetu wanawasilisha matatizo yetu bungeni,Je wanataka isionyeshwe live ili waendelee kulala? .Hivi kweli mtu mwenye akili timamu anaweza kukata uti wake wa mgongo wa na akiwa...
wewe unajitambua kweli ? hivi SISIYEMU na maozo yake yote unaweza kuitetea?? Hebu nipe hoja ya msingi kwanini Wabunge wa SISIYEMU wanataka Bunge lisionyeshwe Live? kama ni kubana matumizi kwanini wasipunguze posho zao zote wabaki na mishahara tuu, ili tuwaone kama kweli wana nia ya dhati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.