King James VersionEcclesiastes 9:10
10. Whatsoever thy hand findeth to do, do it with thy might; for there is no work, nor device, nor knowledge, nor wisdom, in the grave, whither thou goest.
Kuondoa solutiin online ni kuua soko la simu, wanategemea nini? Hizo solution zitaendeleakuwepo ila sio ujuzi wa jujuwezesha kuunda simu kama yao. Repair ni suala dogo sana sidhani kama watakuwa wamefanya jambo la maana kuziondoa.
Kuwa na mauzauza ni mtazamo wako binafsi, usitake kumuaminisha kwa lazima kila mtu unachoamini wewe. Anyway , sikutegemea kuungwa mkono na kila mtu.
Kwa mtu aliyetulia akasoma mada kwa umakini lazima ameona utofauti wa hoja katika mada kuu na article niliyoleta mimi.
Kwa heri.
Wewe ni mjuzi wa ku attack even with wrong targets.
Kosoa hoja iliyotolewa, usimkosoe mletaji. Au imekuwa kosa kuleta citation?
Hata wanafuzi wanapofanya assignments huambiwa watoe references za majibu wanayotoa. Hivyo huja na vyanzo tofautitofauti kila mmoja na chake.
Na kwa uelewa...
Kumtambulisha “Babiloni Mkubwa”
KITABU cha Ufunuo kina majina ambayo yana maana ya mfano. (Ufunuo 1:1) Kwa mfano, kinataja mwanamke ambaye jina “Babiloni Mkubwa” limeandikwa katika paji la uso wake. Kinasema kwamba mwanamke huyo ameketi juu ya “umati na mataifa.” (Ufunuo 17:1, 5, 15) Kwa kuwa...
Martin Luther na Mageuzi Aliyoleta
“INASEMEKANA kwamba vitabu vingi vimeandikwa kumhusu [Martin Luther] kuliko mtu mwingine yeyote katika historia, isipokuwa bwana wake, Yesu Kristo,” likasema gazeti la Time. Maneno na matendo ya Luther yalisaidia kuleta Mageuzi ya Kidini. Mageuzi hayo...
Ni tovuti gani iliyotafsiriwa katika lugha nyingi zaidi? (The most translated website)
Mimi naanza na...
1. www.jw.org imetafsiriwa katika lugha zaidi ya 800 duniani kote.
Orodhesha zingine.
Nadhani kila mtu atafufuka na sura yake ilimradi isiwe na tatizo la kiafya au kilema. Bali katika vichwa vya watu hakutakuwa na mawazo ya kudhani fulani ana sura mbaya, au mimi nina sura mbaya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.