Recent content by kalulukalunde

  1. K

    TRC yafungua biashara Uganda

    Wiki iliyopita TRC ilirejesha safari za treni za mizigo kutoka Tanzania mpaka Kampala Uganda kupitia Tabora, Isaka, Mwanza na Ziwa Victoria kwa kutumia bandari ya Mwanza na Port Bell nchini Uganda. Hatua hiyo imefanyika baada ya kusitishwa kwa usafiri huo kwa miaka 10, jambo ambalo kurejeshwa...
  2. K

    CCM na upotoshaji: Tanzania ni ya tisa duniani kutoa walinda amani sio ya tisa kwa amani duniani

    RIPOTI ya Tathmini ya Amani na Utengamano kwa mwaka 2017, imeitaja Tanzania kuwa nchi ya kwanza kwa nchi za Afrika Mashariki kwa kuwa na amani; na iko kwenye 10 bora kwa kushika nafasi ya tisa katika nchi za Afrika zenye amani. Ripoti hiyo, iliyotolewa hivi karibuni na Taasisi ya Masuala ya...
  3. K

    Ndege nne kwa mpigo zilizoahidiwa na Serikali ikiwemo Boeing 787-8 Dream Liner zitaingia nchini Julai, mwaka huu

    NDEGE nne kwa mpigo zilizoahidiwa na Serikali ikiwemo Boeing 787-8 Dream Liner zitaingia nchini Julai, mwaka huu. Akizungumza na vyombo vya habari katika utaratibu wake wa kila mwezi, Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Dk Hassan Abbasi alisema ndege hizo zinatengenezwa nchini Canada na...
  4. K

    Ukuta wa migodi ya tanzanite kukamilika Aprili

    UJENZI wa ukuta kuzunguka Mgodi wa Tanzanite Merereni, mkoani Manyara wenye mzunguko wa kilomita 24.5 unaratajiwa kukamilika mwishoni mwa Aprili, mwaka huu. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliliambia Bunge na Watanzania wote mjini Dodoma jana wakati akiahirisha Mkutano wa 10 kwamba, ujenzi wa...
  5. K

    Maajabu nane ya Reli mpya ya Dar - Moro

    RELI ya Kisasa (SGR) inayojengwa hapa nchini imeelezwa kuwa ni reli bora kuliko zote Afrika. Mradi huo unaotekelezwa na Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (Rahco), ilianza awamu ya kwanza ya ujenzi Mei, 2017 na inajengwa na Kampuni ya Kituruki ya Yapi Merkezi kwa ubia na Kampuni ya Mota-Engil...
  6. K

    Kuna mambo Paul Makonda anapitia

    Naungana na Watanzania wote kutoa pole kwa familia ya Komredi Kingunge Ngombale-Mwiru, kutokana na kifo cha mwamba huo wa siasa katika Taifa letu. Mzee Kingunge atakumbukwa kwa umahiri wake wa kujenga hoja na weledi aliojaaliwa na Mwenyezi Mungu, hata akaweza kuwa lulu na moja ya injini muhimu...
  7. K

    Wamagufuli, Mmagufuli na Chama Cha Magufuli-1

    RAIS mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, alipata kuzungumza huko nyuma kuhusu zama. Akizungumza kwa ujumla tu, lakini kwa maana pana, alisema kila zama zina kitabu chake. Msingi wa hoja yake hiyo ni kwamba, si sahihi kulinganisha zama mbili tofauti kwa kutumia muktadha mmoja. Bila shaka, hizi ni zama...
  8. K

    Bandari ya Dar yatarajia kupata mapato yatakayovunja rekodi

    WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Makame Mbarawa, amesema kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi, Bandari ya Dar es Salaam inatarajia kupata mapato halisi ya Sh bilioni 450. Akichangia taarifa ya Kamati ya Bunge ya Miundombinu alisema, mpaka robo mwaka kuanzia Julai hadi Septemba...
  9. K

    Kigwangalla: Nawajua Vigogo 4 waliopanga mauaji ya Wyne Lotter, Jeshi la Polisi liwakamate kabla sijamwambia Rais

    MMOJA wa mawaziri wakuu wastaafu ametakiwa kujieleza ndani ya siku 30 juu ya uhalali wa umiliki wa majengo yaliyo ndani ya kiwanja namba 4091 kilichopo eneo la Njiro, jijini Arusha. Imeelezwa kuwa kiwanja hicho ni mali ya kampuni ya Tanzania Tourist Corporation na kina hati iliyosajiliwa na...
  10. K

    Marufuku kuvaa vimini, milegezo shuleni

    JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Meru mkoani Arusha, imesema ni marufuku wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari kwa wasichana kuvaa sketi fupi na wavulana kunyoa viduku, kuvaa suruali chini ya makalio ili kulinda na kutunza maadili ya Kitanzania. Pia jumuiya hiyo...
  11. K

    Kwa ushirikiano huu, Afrika itakuwa salama

    UHALIFU umekuwa ni adui mkubwa wa maendeleo kwa mtu binafsi, familia na hata Taifa kwa ujumla. Pamoja na jitihada mbalimbali zinazofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama kukabiliana na uhalifu huo, lakini pia wahalifu nao wamekuwa wakibuni mbinu mbalimbali za kutekeleza uhalifu. Utakubaliana...
  12. K

    CHADEMA Iringa Mjini yazidi kupukutika

    IDADI ya madiwani wa Jimbo la Iringa Mjini waliochaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inazidi kuputika baada ya diwani mwingine, Oscar Kafuka wa Kata ya Mkwawa kutangaza kujiuzulu juzi usiku. Kafuka anakuwa diwani wa sita kubwaga...
  13. K

    Hospitali ya Mloganzila kuboresha tiba, elimu nchini

    MWISHONI mwa mwaka jana, Rais John Magufuli alizindua Hospitali ya Taaluma na Sayansi ya Tiba (MAMC) maarufu kama Kampasi ya Mloganzila, hatua iliyoashiria kuanza rasmi kutumika kwa hospitali hiyo. Hii ni hospitali ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili, (MUHAS) iliyopo katika...
  14. K

    Kikao kizito marais EAC mwezi ujao

    MKUTANO wa Wakuu wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), uliokuwa ufanyike Novemba mwaka jana, sasa umepangwa kufanyika Februari Kampala, Uganda. Mkutano huo unatarajiwa kuwa na uzito wa kipekee kutokana na viongozi wa EAC kujadili masuala ya miundombinu ndani ya nchi sita za...
  15. K

    Hospitali ya Mloganzila ni kama Ulaya lakini ukali utumike kuzuia uchafu na uharibifu wa miundombinu

    "Ni kama Ulaya" Ni kauli inayotolewa na watu wengi (niliokutana nao) waliofika katika Hospitali ya Taaluma na Tiba Mloganzila (MAMC) iliyopo mpakani mwa Kisarawe mkoani Pwani na Ubungo, Dar es Salaam. Hii ni hospitali inayowakilisha mapinduzi makubwa nchini katika sekta ya afya kutokana na...
Back
Top Bottom