Recent content by Kalukozi

  1. K

    Msaada

    Wadau kwa wale wanaofahamu juu ya mikopo ya nmb nisaidieni kwa hili, nimekopa tsh 4,200,000, cash wamenipa 3,950,000 zingine wamekata, niliomba wanikate kwa mika mitatu ila deni wameniletea tsh 7,540,000 ikiwemo na riba ivi hii ni sahihi au nimeibiwa?
  2. K

    Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

    NIMEANZA KUFUMBUKA MACHOO BAADA YA KUONA KUWA MADHUMUNI YA WAZUNGU YAMEANZA KUTIMIA 'divide and rule' FREEMASON WANAISHARA YA 3 NA TANZANIA INATAKA SERIKAR TATU WHAT DO YOU MEAN? NIYA YA WAZUNGU NI KUONDOA UMOJA ILI WATUCHONGANISHE NA KUTUTAWALA, KATAA SERIKAR TU.
  3. K

    wasomi waonya hakuna mtaji wa siasa kupitia uvunjifu wa amani na kulaghai watu kudai gesi yao.

    Ivi inakuaje wajinga kama hawa wanapata nafasi ya kutoa mawazo yao hapa jf? Huyu mtu sidhan kama mke wake anamfaid vizur nahisi akienda mwaume mwaingine kumwambia ampe mke wake anampa kilahisi
  4. K

    Nafasi za kusoma masters

    Wadau naomba kujuzwa ni mwezi wa ngapi vyuo vikuu vya hapa tz wanatoa matangazo ya kujiunga na masters, hasa vyuo kama mzumbe na udom
  5. K

    Mtoto aliyekojolea msaafu kortini...

    Hawa waislamu wanapewa kichwa na mjomba wao alioko madalakan, mbona kwa mkapa hawakufanya haya? Wakristo sasa tujipange kwa lolote maana hawa maamuma wamejizoeya
Back
Top Bottom