Recent content by Kaluboy

  1. K

    Je Diamond akifa Leo hii Kiba atabaki kwenye ubora au atapotea kama Ray kigosi

    Alikiba alifanya muziki vikamshinda. Na akakimbia Game. Tukabaki watz hatuna wakutupa raha tunayoitaka katka muziki. Kijana akapanda , akapanda, akapanda Ally akajifanya anarudi, mara anataka kiti chake ndo tukaanzia hapo. Ila nikirudi kwenye uzi ni kwamba Kiba anatembelea nyota ya...
  2. K

    Saudi Arabia yatangaa rasmi kuanzisha uhusiano na Israel

    Mzozo wa Palestine utamalizwa na Mungu. Wale ni ndugu. Kihistoria wale wote babu yao ni mmoja. Baba zao ndio tafauti. Lkn babu ni mmoja. Kisheria Palestine wako sahihi sana. (Sheria za kiulimwengu). Kibiblia Waizrael wako sahihi sana. Ila tatizo ni historia kuanzia kwa Ibrahim, na wanae wawili...
  3. K

    Kim Jong-un: Kwani kuna nchi inayoitwa Israel hata Jerusalem uwe mji mkuu wake?

    Hawawezi kujibu. Israel sio ukristo kama ilivo iraq sio Uislam. Kuna watu wanajua ukiisema Israel basi umeusema ukristo. Waizrael wengi na mayahudi na uyahudi sio ukristo na ulikuepo kabla ya yesu na ht baada yake hawajaacha dini yao.
Back
Top Bottom