Recent content by Kalo wa Kalo

  1. K

    CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

    Hii imeonyesha kuwa Kikwete ni kiongozi dhaifu sana. Hawezi akajisimamia mwenyewe kama rais kuvunja baraza la mawaziri mpaka aende kuomba ruhusa Kamati Kuu ya CCM. Hajiamini, anajishuku na hawezi kufanya uamuzi wowote mgumu kama Rais. Kwa kweli kama ataendelea kuendesha serikali kwa staili hii...
  2. K

    Chuo Kikuu cha DSM Kinaendeshwa kisiasa?

    Hilo jina la kitila limekakaa kama la kichaga. Sasa kama huyo Kitila ni mchaga unategemea hizo pesa zingesalimika?
  3. K

    Picha za Warembo Wetu Wa Zamani - Wako Wapi Na Wanafanya Nini?

    Jacqueline Ntuyabaliwe yupo hapa bongo akibadilisha wanaume kila kukicha. Nancy Sumari juzijuzi katoka kuzalishwa na mzungu. Nasikia ni mume wa mtu.
  4. K

    Mke ya Muzungu....

    Mshamba tu huyo.
  5. K

    Ray acha kujiita the greatest!

    Acha kumuongelea limbukeni huyo. Mnampa kiburi bure...
Back
Top Bottom