Recent content by kalita_katala

  1. K

    Msaada: Wapi hapa Dar naweza kusoma Oracle Database na kufanya proffessional exams?

    HAha ha.. hapana nimatumizi tu ndio shida...!! ukifika pale kwenye SELECT A COUNTRY changua African operation alafu kwenye SELECT A STATE changua AA alafu malizia kwenye select A CITY ndipo changua Tanzania.. utakuwa umeipata.. Pole sana Kwa kushindwa kuona at first.. kwenye training moja...
  2. K

    Msaada: Wapi hapa Dar naweza kusoma Oracle Database na kufanya proffessional exams?

    OCP huwezi fanya bila ya kuchukua training kwenye chuo wanachokitabumbua Oracle..!! Na mitihan yote ya Oracle n USD150..tu labda kama wamepandisha saiv...
  3. K

    Msaada: Wapi hapa Dar naweza kusoma Oracle Database na kufanya proffessional exams?

    Unachanganya vituo vinavyo ruhusiwa kufanyia mtihan ya PearsonVUE na training center za Oracle.. check vizuri kwenye web site ya Oracle.. I am OCP certified with oracle.. any question al b hppy to ans you.. OCP nitanzania inafundishwa na Aptech (unique Academy Limited) tu zaid ya hapo huwez...
  4. K

    Msaada: Wapi hapa Dar naweza kusoma Oracle Database na kufanya proffessional exams?

    Kama unataka kusoma SQL Expert na OCA nenda KITM Jamaa anafundisha vizuri sana kuliko mahali pengine popote na bei zao ziko reasonable(jamaa mdogo mdogo hiv ila yuko fresh sana).. ila kama umefikia level ya OCP ndena Apatech ndio chuo pekee Tanzania Kinaruhusiwa Kutoa OCP ila bei yao n USD...
  5. K

    CCNA(Cisco Certified Network Associate)

    Nenda pale KITM mwenge Karibu na hospitali ya mama Ngoma... gharama ni USD 350!!! Jamaa anafundisha vizuri siutan na anavifaa.. UCC watu wengi sana ndio tatizo..
  6. K

    IT Professional In Website dgn&Maintenance ,Database, Networking&Pc Maintenance Available.

    Ushauuri:: kama unaomba kazi nampangilio huu wa uandishi.. itakuwa kazi sana.. mpangilio unamata sana.. Kama mtu wa IT.. vitu kama Microsoft Word.. hawezi changanya na any programming language tena unaanza nayo ya kwanza kwenye listing yako..!!! Omba ushauri wa uandishi mzuri wa CV na...
  7. K

    Mama Anna Kilango na Tundu Lissu nusura wazichape (Picha)

    I have met women(gals) like these in primary school.. think they tough while they not!!!
  8. K

    Wabunge wa CCM watoana nishai - Same Mashariki hakuna lami wadanganya

    Same mashariki kuna lami kidogo kama kilometer tano hiv.... ila tu mwazo wake ni rough road na mwisho wake ni rough road... kijiji kinachoitwa Mahore... hivyo keissy...!!!
Back
Top Bottom