Naunga mkono aje hadharani ,aweke mambo haf=dharani ili kuondoa hii sintofahamu.Ni heri ikbidi akiri baadhi nakuomba radhi kwa umma ,atakuwa kiongozi ambaye ameonyesha mfano na kutoogopa watu.Kuliko hivi sasa kutumia watu,kwani kila anayemtetea hivi sasa anaonekana anatumika naye,bora aje yeye...