Recent content by kalessa

  1. K

    Laigwanan for 2015

    Slaa peke yake ndiye atakayeweza kuikomboa nchi hii hao wengine wote walishashindwa na walikuwa wanatupeleka pabaya tuwashukuru viongozi wa upinzani kuufumua huuo uozo wa ufisadi, vinginevyo ungeshauzwa na wewe mwenyewe bila kujijua.
  2. K

    Mambo ya wanaharakati Muhimbili...

    Nyerere alishamwona huyu mkuu wa nchi yetu kuwa hafai kuwaongoza watanzania sasa tunayaona. Swala sirious case kama hii siyo la kulikalia kimya mda mrefu namna hii. watanzania tuingie barabarani tuwaokoe ndugu zetu wanao teseka hakuna njia nyingine, maana viongozi wetu wote wamechemka ni aibu...
  3. K

    Posho zilivyo wavimbisha matumbo viongozi wetu

    Hayo ndio maisha bora kwa kila mtanzania? Ukisema unaambiwa wewe mpinzani mchonganishi mwongo, namshukuru sana muheshimiwa aliyetuletea hizo picha.
  4. K

    PICHA: dah,kumbe kukimbizana kwa zamu....

    HAhahaaaa! Nimeipenda hiyo dada zetu mjifunze!
  5. K

    Hapo Je!!!

    Eee mola nitoe rohoo niepuke na hili balaaa!
  6. K

    panda twende mjini

    Kua uyaone siyo maghorofa bali ni mambo kam haya na ndio faida ya kuishi kwingi. Ila hizi gari nazionaga Lushoto zinaelekea Bumbuli kwa Makamba.
  7. K

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Inauma sana kuona matumizi ya serikali jinsi yalivyo makubwa kwa viongozi wa serikali kuhamisha kazi za maofisini kupeleka mahotelin, na kupeana posho ambazo hazina msingi wa maendeleo yeyote,maofisi yote ya serikali yana (comferenc room) chumba cha mikutano, huko hotelini wanfanya nini kama...
  8. K

    Kwa hili, JK awaombe radhi Watanzania kisha athibitishe kuwa ni Muongo. Hatutaamini asemacho tena

    wananchi tulishamwona mwongo ila usala wa taifa jwtz(shimbo) na tume ya uchaguzi ndio waliomweka madarakani kwa maslahi ya binafsi.
  9. K

    Poleee Madafuuu poleee, Wanapotunza na Dolaaa

    Inapendeza kwa kweli!
  10. K

    viongozi wetu wanaendelea kupeana shahada

    kila mwenye nacho atazidi kuongezewa na asiye kuwanacho hata kile kidogo atanyang"anywa.
  11. K

    Dr. Slaa alitushauri wa-TZ tukampuuza, sasa kulalama kwanini?

    Tume ndio ilimchagua JK nawala sio wananchi.
  12. K

    When a dog chickens out.........

    huyu dog anapatikana wapi maana anajua kuimarisha ulinzi
  13. K

    Hawa ni nzi au nyuki?

    Huo ndio ukweli athari ya kutoa tigo ndio hii unavuja nyesi bila kujijua.
  14. K

    make sure you observe road signs this christmas......LOLS

    Inapendeza kuwajali mpka walevi maana na wao wanachangia ktk kukuza uchumi wa kwa kiasi kikubwa tena kushinda hata madini yetu.
  15. K

    Bambataa

    Hii siyo raha bali ni karaha. jaribu kuumiliki utakuja kuniambia siyo kitandani tu hata mtaani ukipita naye.labda mda wote uwe naye kwenye usafiri.
Back
Top Bottom