Posho zilivyo wavimbisha matumbo viongozi wetu

Hawa inabidi wapewe gym membership allowance instead. Serikali itagharimika zaidi kukidhi afya zao ikiwa everyone is entitle for treatment abroad.
 
Humuoni alivyokuwa Rais wetu Mzuri? ndio aina pekee Rais kijana katika Afrika mashariki.

Anaitwa raisi mrembo....ndio tulicho cha kujivunia, with that look lazima tu akienda uza sura majuu misaada ipatikane :)
 
Inatia uchungu sana. Kwa hasira nimemua kuanza maandamano hapa hapa nyumbni!
 
Hayo ndio maisha bora kwa kila mtanzania? Ukisema unaambiwa wewe mpinzani mchonganishi mwongo, namshukuru sana muheshimiwa aliyetuletea hizo picha.
 
attachment.php


Hawa nao picha zao zinachochea watu wengine?

Nilikuwa na majonzi na hasira kwa picha za umaskini wa watanzania, mara nakutana na hii nikacheka ghafla jinsi jamaa wa intelijensia walivyo hoi kwa usingizi na Mzee John naye anahangaika kufikicha macho asije akaishia kama wao! Sijui walinyweshwa nini?
 
Aisee hii hali imezidi, inabidi wananchi tuamke, tuingilie kati hili swalabefore its too late

Ndugu,

Ni kweli hali imezidi, Ni kweli wananchi tuamke na tuingilie kati LAKINI Young_Master hukuweza kusema ni kwa njia gani wananchi wanaweza kuingilia, hukuweza kueleza watumie nini kuamka na hukuweza kueleza wananchi watumie nini kuingilia kati. Toa mapendekezo ili tulete mabadiliko maana mabadiliko yanaanza na wewe/mimi
 
mmh jaman jaman kama huyu komba ilo litumbo litakuja burst siku moja linaongezeka daily duuh!
tusifanye makosa jaman wapiga kura wenzangu, embu tufanye mabadiliko kidogo kwa kutochagua hawa magamba jaman, cheki jaman wabadhirifu haswaa!
embu turuhu chama kingine tuone basi hata kwa kipindi kimoja!
hawa ni mazombi jaman mmh.
 
Nilikuwa na majonzi na hasira kwa picha za umaskini wa watanzania, mara nakutana na hii nikacheka ghafla jinsi jamaa wa intelijensia walivyo hoi kwa usingizi na Mzee John naye anahangaika kufikicha macho asije akaishia kama wao! Sijui walinyweshwa nini?

Piriton
 
Back
Top Bottom