viongozi wetu wanaendelea kupeana shahada

viongozi wetu wanaendelea kupeana shahada

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,858
Reaction score
63,432

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, abaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA, DkT. Ali Mohamed Shein, akimtunuku shahada ya uzamivu ya heshima ya chuo kikuu cha Taifa SUZA Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume,wakati wa sherehe za mahafali ya 7 ya chuo hicho zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnazi mmoja Mjini Unguja.mia
​
 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, abaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA, DkT. Ali Mohamed Shein, akimtunuku shahada ya uzamivu ya heshima ya chuo kikuu cha Taifa SUZA Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume,wakati wa sherehe za mahafali ya 7 ya chuo hicho zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnazi mmoja Mjini Unguja.mia​
 
huyu mlevi anasoma saa ngapi mpaka apewe hii shahada au ni shahada ya ulevi na kufuga mustachi
 
kila mwenye nacho atazidi kuongezewa na asiye kuwanacho hata kile kidogo atanyang"anywa.
 
Shein anajisahihisha hapo, kuhudhuria kikao cha baraza la mawaziri wa serikali ya Kikwete kunamtesa na hii ndo chombeza ya kufuta makosa
 
Back
Top Bottom