Recent content by KalengaBoy

  1. K

    JamiiForums Tanzania Iphone 6 yangu imepasuka kioo

    Ni kama $45- $50
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua Kuhusu maindi ya Njano

    Goodluck!!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua Kuhusu maindi ya Njano

    Sio lazima iwe kwenye greenhouse inachotakiwa ni kukakikisha shamba lako haliko karibu na shamba lingine la mahindi aina nyingine kuzuia crosspolination. Mimi nimelima sana popcorn Iringa na quality was excellent. Cha maana hakikisha unapata mbegu A uhakika
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba ushauri wa suluhisho la upungufu wa nguvu za kiume

    Pia mbegu za watermelon Au tikiti maji nazo zimekuwa Zikisaidia watu wengi. Kwa kuongezea unaweza jaribu na dawa za asili lakini inabidi uwe makini sana kwani waganga wengi wa kitanzania siku hizi sio wakweli na wengi wametanguliza pesa na sio ubinadamu wa kutaka kumsaidia binadamu mwingine
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba ushauri wa suluhisho la upungufu wa nguvu za kiume

    Pole sana ndg yangu kwa tatizo hilo. Kwa kifupi tatizo hilo kwa sasa linawakabili watu wengi sana na baadhi ya sababu ni Lishe , Life style na maradhi kama moyo, kisukari na hata psychologically. Tatizo kubwa la watu wengi ni kwamba huwa ni wasiri au hawasemi ukweli pale wanapotakiwa kutoa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta matango pori(KARELA)

    Hili tango katika picha linatambulika kwa jina la " Bitter melon" lina virutubisho vingi na dawa ya maradhi mengi ikiwa ni pamoja na kupunguza sukari mwilini , maradhi ya tumbo , ngozi n.k. Tango hili linatumiwa sana na ndugu zetu wa asili ya ki- asia. Mahari ambapo kwa uhakika unaweza pata ni...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Yes. Ila ujue kuwa kinyesi ktk yai ni dalili ya kuku kuwa na minyooo. Please Deworm
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji laptop

    Hebu nipe specs nione kama naweza kukusaidia
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kioo na touch ya alcatel onetouch

    Je ulishapata kioo......... ?????????
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kumekucha CCM, Dr John Pombe Magufuli kuchukua fomu ya Urais NEC kesho Jumanne Agosti 4

    Pamoja na mapungufu yote ndani ya Chama tawala nitaendelea kupigia kura CCM kuliko UKAWA iliojaa ukabila,ukanda ,udini na uchu wa kutaka madaraka kwa mbinu zozote zile. Chadema walianza vizuri lakini uchu wa madaraka ,upendeleo na ukiukaji wa misingi ya chama . Imezidi kupoteza umaarufu wake...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nadhani hiki ndicho kilichoogopwa kusemwa na CCM leo peacock hotel

    Inasikitisha sana kuon​a watanzania wengi wamekuwa watu wa kukurupuka na kuhamaki kila wanaposikia au kuona jambo. watanzania tunapaswa kuwa na busara ya kusikiliza na kutafakari na mwisho kutoa maamuzi. Asilimia kubwa ya wachangiaji hapo juu wamekurupuka na kutoa comments ambazo hata...
Back
Top Bottom