Recent content by kalamuyamwalimu

  1. kalamuyamwalimu

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme kwa mahitaji ya nyumbani na viwandani

    Tunatoa huduma wiring Installation of air condition CCTV camera Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi Kwa namba zifuatazo 0716456379 0764459259 0687567376
  2. kalamuyamwalimu

    JamiiForums Tanzania Nauza banda la biashara

    Nauza banda la biashara lipo katika hali nzuri na rahisi kuamishika. Banda linapatikana Maeneo ya Ubungo maziwa karibu na stendi ya mkoa wa Dar es Salaam au kituo cha mabasi yaendayo haraka kwa fedha halisi ya kitanzania 750000/- kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba zifuatazazo: 0764459259...
  3. kalamuyamwalimu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Leo kidogo waliwaonea huruma maana ss tulienda round 12 mkuu
  4. kalamuyamwalimu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Hapana mkuu ila n vzr ukawa na bukta maana inakupa wepes kwene kufungua miguu....
  5. kalamuyamwalimu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Kw diploma tulikuepo pale udsm tulikua 75 round za kuzunguka uwanja zilikua 12 uwezo wako wa kukata upepo ndo utakao kuokoa
  6. kalamuyamwalimu

    JamiiForums Tanzania Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

    Asante kwa kutujuza tag me please
  7. kalamuyamwalimu

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Miez 3
  8. kalamuyamwalimu

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    TECNO H6 mpya bei maelewano
  9. kalamuyamwalimu

    JamiiForums Tanzania Niko njiani kuelea Eritrea

    Road to eritrea
Back
Top Bottom