Recent content by kalamu ya chuma

  1. kalamu ya chuma

    JamiiForums Tanzania UN iingilie haya yanayotokea Tanzania, wasingoje mambo yaharibike

    kwani Tanzania kuna tatizo gani mpaka waingilie kati wakubwa? hapana tuko shwariii kabisa mengine ni ukomavu tuu
  2. kalamu ya chuma

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo majimbo ya Ukonga na Monduli: CCM yashinda majimbo yote!

    demokrasiaaaaaaaaaaaaaaaaa aiseeee macho yanaumaaaaa
  3. kalamu ya chuma

    JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano CHADEMA Inaelekea Kwishney? Zitto amebadili Online Trend...

    dhihaka ya ajabu sana mhhh aiseee
  4. kalamu ya chuma

    JamiiForums Tanzania Serikali yamkataa Mkurugenzi wa Bugando

    ubaya mwisho ni aibu
  5. kalamu ya chuma

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makontena ya Makonda: Rais Magufuli amshukia kama Mwewe, amtaka alipe kodi

    wapeee hivi kumbe nae ni mshukiwa? hahaha
  6. kalamu ya chuma

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Mtaka wawakuna CCM,CHADEMA

    Bwana azidi kumuinua maana ana hofu ya MUNGU ndo maana anayafanya haya,wasio na hofu ya MUNGU hata hapa watamzodoa nakuukataa ukweli, UKIMPENDA MUNGU,HAKI YAKE ITAKA NDANI YAKO,kudos RC MTAKA
  7. kalamu ya chuma

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakumbwa na uhaba wa wanaume zaidi ya milioni moja

    hahaha tafiti hizi mhhh hapa wadada lazima waumie wakisoma haya,please ipite mbali nao,uzi huu
  8. kalamu ya chuma

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu TAMISEMI, Mussa Iyombe atoa sababu za wakuu wa wilaya na wakurugenzi kutenguliwa hizi hapa

    safi sana huu ndiyo utawala bora hongreni sana tamisemi
  9. kalamu ya chuma

    JamiiForums Tanzania Dotto Bulendu: Rais, walioelemewa na mizigo ni wengi na siyo wale tu waliokuwa CCM na kwenda upinzani. Mizigo haipo kwenye siasa pekee

    hatari sana yajayo yanafurahisha kwelikweli Tanzania nakupenda kwa moyo wote
  10. kalamu ya chuma

    JamiiForums Tanzania Kama siasa zingeruhusiwa,wabunge na madiwani wangehama kweli?

    kuna mtu alikuwa ananiuliza kwa haraka haraka jana na ikanifikirisha sana,eti kweli kama siasa na makongamano yake ukiachilia mbali 'amshaamsha' kama ilivyokuwa enzi za Mh Kikwete hivi hawa wanaohama sasa wangeendelea na kuhama na kujisifu saana kama ilivyo sasa? kama hamuamini zilruhusiwe muone...
  11. kalamu ya chuma

    JamiiForums Tanzania Fanya yafuatayo ukigundua kuna majambazi nje ya Nyumba yako

    Safi sana aisee nimeipenda hii mhhh tunaelimika sana
  12. kalamu ya chuma

    JamiiForums Tanzania Mtatiro aanza 'kufaidi mafanikio' hata kabla ya kujiunga rasmi CCM

    sisi asilia tunawaona mnakuja kuchukua nafasi zetu please,njooni lakn nafasi zetu tuachieni aisee
  13. kalamu ya chuma

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Bibi Fisi: Mchawi aliyetikisa Kanda ya Ziwa

    nilikuwa naishi bugarika kipindi hicho na baadae igogo napafahamu sana hapo maana tulikuwa tunapita hapo pembeni mwa kijumba chake na lami iliikwepa hicho kijumba aisee ilishangaza sana sana,ni kweli bibi fisi story zake zinatisha lakn sisi wenyeji tulimzoea kawaida kabisa na wakati tunaenda...
  14. kalamu ya chuma

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Baylor college

    watu wako kazini sasa
Back
Top Bottom