Kumbusho hili muhimu,Kwa Binti zetu nyumbani,
Tusibaki kulaumu,Wakishindwa Maishani,
Tuzifikishe Salamu,Kwa Utuo na makini,
Matano yana muhimu ,Mavazi ya kuvalia.
Kwanza hiyo sare yako ,shuleni unosomea,
Yasitiri mwili wako,kuziepuka udhia,
Haitaki manukato,ya mwili na mapambia ,
Matano...