Recent content by Kalamu mpya

  1. Kalamu mpya

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 latokea Dodoma

    Maafa ni wewe unayedhani kuhamia Dodoma ni kukurupuka
  2. Kalamu mpya

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Hata enzi za mitume, walikuwepo watu kama wewe waliowachukia mitume kwa hiyo wewe sio wa kwanza
  3. Kalamu mpya

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe ni mwaka gani ulimaliza shule ya msingi?

    Wakati wa vita ya Hitla
  4. Kalamu mpya

    JamiiForums Tanzania Cyril Chami: Unapoongeza mbao na mabati mapya mazito kwenye nyumba kuu kuu ukitarajia upya ni mawazo yasiyo na daraja

    C. Chami, hana maono,tangu apigwe chini Ubunge wake alishapoteza mwelekeo anawaza 2020
  5. Kalamu mpya

    JamiiForums Tanzania Balozi mteule mbona haapishwi? Au inaandaliwa sherehe ya kitaifa?

    Hii ndio mjue kuwa, uwezo wenu nyinyi ufipa wenye maono ni zero. Kodi za watanzania huliwa na watanzania wenyewe akiwemo Dr. Silaa, kila mtanzania huitumia Kodi kwa nafasi yake
  6. Kalamu mpya

    JamiiForums Tanzania Nimeona aibu rais Magufuli anavyomsifia Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

    Mwigulu yupo vizuri kiutendaji, kama wewe huoni, unalako jambo, unazungumuza kibiti wakati Imedhibitiwa! Hali yauhalifu nchini imeshuka kabisa amani inazidi kutamalaki wewe huoni? Tatizo unachanganya siasa na kazi na chuki zako binafisi
  7. Kalamu mpya

    JamiiForums Tanzania " Huu ndio ukweli mchungu " ambao CHADEMA hawataki kuusikia

    Wtanzania huwa hatukubali ukweli, haya uliyoyaeleza ni ukweli matupu. Na Mwl.Nyerere aliwahi kusema mficha maradhi kilio kitamfichua 2020 Chadema kilio ktawafichua
  8. Kalamu mpya

    JamiiForums Tanzania Iran Kimenuka, Maandamano ya Kuipinga Serikali Kuenea Nchi Nzima

    Hata yale ya UKUTA Hapa Bongo yaliisha
  9. Kalamu mpya

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye, Julius Mtatiro na Dr. Shoo Live on Azam tv

    Hawa chadema hawana jipya uamuzi wa kususia, ni sawa staili ya kufunga mwaka 2017
  10. Kalamu mpya

    JamiiForums Tanzania Ccm mbele kwa mbele

    Kaa kimya kama huna hoja, kuichukia ccm Bila hatua kuchukua kuiondoa, utapata vidonda vya tumbo bure. Ccm ni dude kubwa inahitajika taiming
  11. Kalamu mpya

    JamiiForums Tanzania Kununua Wanasiasa mmojammoja huku Wananchi wanataabika ni ujinga

    Wewe ndiye utujibu, anunuliwe kwa lipi alilolifanya? Kwa akili yako hiyo ndogo Hali ngumu umekaa kijiweni, Fanya kazi acha kulialia. Uamuzi wa mtu mmoja upo kwa mbowe. Fanya kazi kwa kujituma uchumi utapanda, maneno matupu hayasaidii
  12. Kalamu mpya

    JamiiForums Tanzania Kununua Wanasiasa mmojammoja huku Wananchi wanataabika ni ujinga

    [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
  13. Kalamu mpya

    JamiiForums Tanzania Kununua Wanasiasa mmojammoja huku Wananchi wanataabika ni ujinga

    Hakuna mtu mpumbavu na mwenye mawazo kama yako, ikiwa Nyalandu ilikuwa halali kuhamia cdm vipi Moleli iwe haramu kuhamia ccm na ujenge hoja ya kununuliwa? Acha ujinga jitambue
  14. Kalamu mpya

    JamiiForums Tanzania Kununua Wanasiasa mmojammoja huku Wananchi wanataabika ni ujinga

    Wewe ndiye mjinga kudhani kwamba kila anayehamia ccm toka upinzani amehongwa, Bali anaye hamia toka ccm kwenda upinzani kajitambua, ni mawazo mufirisi Jiongezee wewe!!!
  15. Kalamu mpya

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna Tetesi za kufanyika mabadiliko ya Utawala Zanzibar

    Hakuna kitu kama hicho
Back
Top Bottom