Recent content by Kalagabao

  1. K

    Picha ; vijana wa kitanzania ii walikuwa wanafanya mazoezi ya kigaidi mtwara

    Marekani na nchi za ulaya wanatumia pesa nyingi na siraha nzito kupambana na magaidi, lakini jeshi la polisi Tanzania wao ni mbinu tu za kiinterejinsia, nawaomba mtumie pia mbinu hizo kupambana na ufisadi Tanzania, mana ndo jambo linalotutesa wananchi wengi wa hali ya chini.
  2. K

    CHADEMA,dhambi hii itawatafuna katika uhai wenu,mwanaisasa huyu amewakosea nini?

    DOTTI, mjane wa aliyekua mbune wa jimbo la Tarime kupitia CHADEMA marehemuu Chacha Wangwe amesema hana hamu na chama hicho ikzinatiwa jinsi kilivyomtenga baada ya mumewe kufariki dunia kwa ajali ya gari. Alika aizungumza na MTANZANIA jijini hapa katika hotel ya BM iliyopo Pasiansi. Dotto hiv...
  3. K

    UAE says three citizens held over Tanzania bombing, Only One from Kingdom held

    Heshimu sheria, usiingilie mahakama, kama unaushahidi wa hicho ukisemacho nenda mahakamani kawatete. Kwnz unanishangaza mana ht ndg zko huwajui, je ni watanzania walolipuliwa au wasaudi walokamatwa?
  4. K

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Kweli bwana Mwita nakubaliana na ww waislam wanatakiwa kujitathimini ni wapi wamekosea. Ila napingana na ww kusema kuwa waislam wanawalaum wakristo hilo si kweli. Waislam wanailam serikali kutokana na upendeleo. Waislam washajitathimini na kupata jibu kwamba mambo yao mengi yanakwamishwa na...
  5. K

    Saed Kubenea kugombea ubunge 2015 kupitia CHADEMA

    Habari hz zinanipa njia ya kumtathimin Kubenea hasa juu ya kazi zake enzi za Mwanahalisi na kupata jibu kuwa alikua ana2miwa na wala hakufanya kaz kwa matakwa yke. Hupaswi kujiuliza kwa nini habari za Ritz zinathibitisha juu ya nlichokisema, embu tizama konfidensi ya KUBENEA kutaka kugombea...
  6. K

    Saed Kubenea kugombea ubunge 2015 kupitia CHADEMA

    Habari hz zinanipa njia ya kumtathimin Kubenea hasa juu ya kazi zake enzi za Mwanahalisi na kupata jibu kuwa alikua ana2miwa na wala hakufanya kaz kwa matakwa yke. Hupaswi kujiuliza kwa nini habari za Ritz zinathibitisha juu ya nlichokisema, embu tizama konfidensi ya KUBENEA kutaka kugombea...
  7. K

    Nape kugombea ubunge Ubungo 2015 aanza kujiimarisha ktk matawi ya CCM

    Kweli ndugu naona kuna kitu cha ziada ndani ya halmashauri yako ya kicha, watanzania wote wangelikua na mawazo kama yako tungelikua tushakomboka. Naomba niwambie watanzania wenzengu huu si wakati wa kushabikia vyama bali ni wakati wa kushabikia mabadiriko. Hivyo yeyote atakayekuja na mtazamo...
  8. K

    Maadili ya utumishi wa umma.

    Leo ni siku ya mwisho kwa viongozi w umma kurudisha fomu zinazoonesha mali wanazomilik lakini mpaka sasa ni vingozi 1751 tu kati ya 9174 ndio walorudisha fomu. Je amnao badp hawajarejesha fomu hizo tawaeleweje? Toa maoni yako.
  9. K

    Hi all JF members

    Hi to all JF members, I ask your cooperation in different discussion topics. Allwahs I like to share idear with different in various matters in political, social, economics, sports and other agenda which affects community direct or indirect. NIPOKEENI WA NDUGU NI MIMI KALAGABAO, ASANTENI SANA.
Back
Top Bottom