Recent content by kalachai

  1. kalachai

    JamiiForums Tanzania Tetesi: SIRI IMEVUJA: CHADEMA mikononi mwa kampuni ya BELG Sea International

    Shida iko wapi kama watafuata utaratibu.... Was kuwekeza
  2. kalachai

    JamiiForums Tanzania Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

    Toka waanze kufanya biashara zao sisi kama Taifa tulinufaika na nin zaidi ya ufisadi wenu... Bandarini Hacha waendee huko akili ipanuke
  3. kalachai

    JamiiForums Tanzania Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Polee sanaaa Dada Muamini Mungu maana ndio muweza wa yote yeye aliyeruhusu kiumbe icho kuwepo hai mpka Leo hii maana take ana makusudi nacho ni lazima atatengeneza njia na hill nalo litapita na maisha yataendelea kikubwa omba toba na rehema kwa Mungu maana ni mwingi wa rehema na huruma
  4. kalachai

    JamiiForums Tanzania Rasimu ni maoni sio Katiba

    Mkuu suala la mgombea binafsi ni suala nzuri kwa mantik hii Mgombea binafsi hatapaswa kuwajibishwa na wana nchi moja kwa moja iwapo sheria itakuwa thabiti . Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
  5. kalachai

    JamiiForums Tanzania Bunge la Kenya au Uganda sioni likitembelewa na the so called Wageni

    Kwani utaratibu ikoje uko bungeni..... Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
  6. kalachai

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni connection na Mungu atawabariki wanasema mafanikio ni Mungu na watu naombeni Mungu awaguse kwa hili

    Kote uko tumeomba but hakuna tulichopata ata interview ya matumaini hakuna
  7. kalachai

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni connection na Mungu atawabariki wanasema mafanikio ni Mungu na watu naombeni Mungu awaguse kwa hili

    Natumaini ni jumamosi tulivu na nzuri kwenu uku wengine mkiwa mnamwagilia moyo , wengine mkiwa na familia zenu , wengine mkiwa kwenye nyumba za ibada mkimalizia sabato na wengine mkiwa kwenye biashara zenu Niende kwenye point ,,,,, Ndugu zangu mkiona MTU anaamua kutoa personal detail zake...
  8. kalachai

    JamiiForums Tanzania Usianzishe biashara wala kutafuta kazi kupitia waganga wa kienyeji

    Amnaa nasemea pm ya mshana jr
  9. kalachai

    JamiiForums Tanzania Usianzishe biashara wala kutafuta kazi kupitia waganga wa kienyeji

    Baba nimekutumia ujumbe pm ila hauendi
  10. kalachai

    JamiiForums Tanzania Employment invitation latter

    Habarin wana jukwaa naomba mnisaidie kutambua hii invitation latter Nina mashaka nayo kwa sababu imetumwa kwenye email upande was spam
  11. kalachai

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nafanyaje kupata viambatanisho hivi?

    Habarini wanajukwaa, wakubwa shikamoni. Leo nimepata invitation letter ya mwajiri nchini Europe jiji la ireland Dublin ila nimeambiwa niendelee na procedure za application form kama; ~ Europass CV ~ Motivation latter ~ National health form ~ Work permit form ~ Health insurance form Hivi vyote...
Back
Top Bottom