Recent content by Kakole

  1. Kakole

    JamiiForums Tanzania Wake za watu kudanga waume zao wamekosea wapi?

    Sijaoa bado
  2. Kakole

    JamiiForums Tanzania Nampenda Sana Money Penny~ Happy Birthday To Her

    Happy birthday love
  3. Kakole

    JamiiForums Tanzania Wake za watu kudanga waume zao wamekosea wapi?

    Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, sijajua shida iko wapi na wanakosa nini na kwanini hawaridhiki na maisha na uwezo walionayo yeye na mwenzie[mume wake]
  4. Kakole

    JamiiForums Tanzania Majina mapya ya wadada wenye wowowo kubwa...

    Engineer! Soma hiyoooooo......poa poa mtoto mzuri east Afrika na kati na jangwa la zahara!
  5. Kakole

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanapenda ma handsome

    Uhandsome ni moja ya sifa kati ya sifa chunguzima, kwahiyo km ww ni handsome jitahitahidi kuongeza sifa zingine km vile utafutaji pesa,mazoezi[kuwa na mwili wa kiume], mipango ya mda mfupi na ya mda mrefu mpenda maendeleo pamoja na kujua kutulia kwa yule umpendae[ubavu wako] kiujumla sifa ni...
  6. Kakole

    JamiiForums Tanzania Majina mapya ya wadada wenye wowowo kubwa...

    Ww ndio uliquote mara ya kwanza pengine ulkosea badala ya kajole ukaniquote mm
  7. Kakole

    JamiiForums Tanzania Majina mapya ya wadada wenye wowowo kubwa...

    Hata mimi nimeshindwa kushangaa kwakweli
  8. Kakole

    JamiiForums Tanzania Majina mapya ya wadada wenye wowowo kubwa...

    Wewe panya buku umetokea wapi tena? Sijawahi kufahamiana na raia yeyote nje ya jf kwahiyo tuliza mapepe yako huko huko uliko.
  9. Kakole

    JamiiForums Tanzania Majina mapya ya wadada wenye wowowo kubwa...

    Hivi umenijibu mm au reply yako imeenda kwa mtu tofauti kaaaah! Sio kwa kuniita tapeli mbona sina sifa hizo mkuu wangu ila nashukuru kwa yote
  10. Kakole

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wanandoa

    Ndoa tamu sana kila mtu ana namna anavyoichukulia ila asilimia kubwa ni faraja sn kuwa na watoto na mama yao pamoja
  11. Kakole

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akijua huna kazi anakuacha. Najiuliza kwanini?

    Tuliostaafu kutongoza sababu ya vizinga visivyo na formula tunacomment wapi?
  12. Kakole

    JamiiForums Tanzania Majina mapya ya wadada wenye wowowo kubwa...

    hahahaha.......unataka uje inichune kikokotooo changu!!
  13. Kakole

    JamiiForums Tanzania Majina mapya ya wadada wenye wowowo kubwa...

    engineer soma hiyooooo.........ni kwa vile nimestaafu ningekuja kusoma hiyo maneno aisee
  14. Kakole

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: TRA Sijawatuma mkusanye kodi ya dhuluma

    Serikali kupitia TRA wasipobadilika na kwa kuweka kodi rafiki kwa wafanyabiashara basi watakosa hata kile kidogo walichokuwa wanakipata zaman
  15. Kakole

    JamiiForums Tanzania Sina bahati ya kupata mwanamke asiye tegemezi

    Haina noma kichaa wangu
Back
Top Bottom