Recent content by kakolaki

  1. K

    JamiiForums Tanzania Professor Maghembe ameishiwa sere na Sasa anatumia udini kumsimika Madara ya ubunge wa Mwanga mwanae

    Uchangiaji mwingine unakuvua nguo
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP mstaafu kuwa mkuu wa mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

    Sio Prof. Kaka yake alikua Major General
  3. K

    JamiiForums Tanzania Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP mstaafu kuwa mkuu wa mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

    MAJOR General Tumainel Kiwelu, Herman Lupogo, Silas Mayunga, Mathew Luhanga nk, pia hata makanali Nsa Kaisi, Anatory Tarimo nk
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP mstaafu kuwa mkuu wa mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

    Kawaida viongozi wenye cheo fanana wakiwa na uniform wote wanapiga saluti, ikiwa mmoja katika sare, Mwingine (mstaafu) kavaa kiraia atabana mikono tu badala ya salute, hiyo haiondoi hadhi ya cheo chake
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP mstaafu kuwa mkuu wa mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

    Hata hajakosea na nina imani kwa level ile wanajadili na mteule kabla, mara nyingi kutokana na unyeti wa mkoa, mpakani aweza kumuomba amsaidie kwa kazi maalum kupitia uzoefu fulani na akakubali
  6. K

    JamiiForums Tanzania Lifahamu bomu aina ya ‘Mop Bunker Buster’ linalodaiwa kuweza kuharibu kituo kikuu cha Nyuklia cha Iran na Fordow

    Ni suala la uamuzi tu, na kufumba macho dhidi ya madhara yatakayo ambatana nayo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Lifahamu bomu aina ya ‘Mop Bunker Buster’ linalodaiwa kuweza kuharibu kituo kikuu cha Nyuklia cha Iran na Fordow

    Badala ya kuendelea na uvuvi unajadili vifaa vya kijeshi
  8. K

    JamiiForums Tanzania Putin: Tulitaka kuisaidia Iran katika ulinzi wa anga yao lakini ikapuuza

    Tatizo Israel anazo Nukes na sio siri
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimsaidiaje mke wa mtu anayenyanyaswa na mume wake?

    Itakugharimu, kwanza mpaka apigwe jua chanzo, unaweza kukuta alifumaniwa au kakutwa na meseji. Ukiona atachukulia ni wewe
  10. K

    JamiiForums Tanzania Makao makuu ya usalama wa taifa Iran yasambaratishwa na Israel

    Huyo hafiki wiki Ijayo, nipo hapa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelezwa : Iran akimiliki Nuclear Israeli inamhusu nini?

    Ana vichwa vinavyokadiriwa 80
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelezwa : Iran akimiliki Nuclear Israeli inamhusu nini?

    Kinachomponza Iran ni kufadhili vikundi vya jihadi kujaribu kuifuta Israel ili wabaki na Gaza matokeo yake anawaponza hata hao wa Palestine, na sasa wanahangaika kung'oa mzizi
  13. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelezwa : Iran akimiliki Nuclear Israeli inamhusu nini?

    Ukisikia jirani yako anafanya mipango ya kukukodia majambazi ili wafute familia yako kisa mgogoro wa shamba utafanyaje au serikali itachukua hatua gani?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Israel imekosea kama Hamas ilivyokosea

    Issue sio kupiga nyumba, Wenzako wanaua wenye akili wewe unaua jengo
Back
Top Bottom