Recent content by Kakobee

  1. Kakobee

    Baada ya jaribio kuzuia mkutano wa Heche, wafanyika bila ulinzi wa Polisi na hakuna hata sisimizi aliyeumizwa

    Hamna kitu hapo,katika wabunge wa upinzani wasiokuwa na hoja huyo naye yumo. Umadhubuti upi unaouongelea wewe kwa Heche.
  2. Kakobee

    TANZIA: Mmoja ya waasisi wa TANU, Mzee C.O Milinga afariki dunia

    Wameisha sasa hao wazee, taarifa zilizokuwepo ni kuwa alikuwa amebaki tu huyo mzee baada ya wenzake 16 kuwa wametangulia mbele ya haki kwa nyakati. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Ameni.
  3. Kakobee

    Rais Magufuli ashangaa Majaji kwenda likizo Ulaya kwa gharama zao, amtaka Jaji Mkuu kuchunguza

    Elewa kilichozungumzwa na mkuu wa nchi we people. Anasema watu wanaokwenda huko mamtoni ni walewale Kama ukishughulisha vizuri bongo yako utaelewa anamaanisha nini.
  4. Kakobee

    Je, kila Waziri ana uwezo wa " kuiagiza" Takukuru au wengine wanapaswa kuiomba?!

    Lugha ya waziri kutamka "naagiza"ni lugha ya kisiasa zaidi inayompamba mtoa kauli
  5. Kakobee

    Kwa hili ni Bora aendelee Magufuli miaka 10 kuliko kurudi Kikwete kwa mwaka mmoja

    Nimechukulia dhana ya uwajibikaji wa pamoja wa serikali kwamba kama serikali ya Jk inalalamikiwa kwa wizi na uzembe basi hata Magufuli hawezi kukwepa lawama za serikali aliyokuwemo,lakini ukweli unabaki palepale kuwa Magufuli kwa binafsi ametumikia nafasi alizopewa kwa uaminifu mkubwa na kujitoa...
  6. Kakobee

    Kwa hili ni Bora aendelee Magufuli miaka 10 kuliko kurudi Kikwete kwa mwaka mmoja

    Ndiyo maana watanzania walichambua na kuona yeye ana afadhari kuliko wenzake.
  7. Kakobee

    Kwa hili ni Bora aendelee Magufuli miaka 10 kuliko kurudi Kikwete kwa mwaka mmoja

    Mkuu nikukumbushe mwingine yule mhadhiri aliyekatwakatwa mapanga kama kiti moto wakati wa mchakato wa katiba mpya.
  8. Kakobee

    World Economic Forum: Tanzania ni nchi ya tano kwa ukuaji kiuchumi duniani kwa mwaka 2017

    Hata kwenye mbio unaweza kumfikia mtu aliyekutangulia hata kumzidi endapo endapo utaongeza mwendo. Sisi ni wadogo katika uchumi,lakini kasi yetu katika ukuaji ndiyo itakayokuza uchumi wetu. Si sahihi kupuuza kiwango hicho cha ukuaji.
  9. Kakobee

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi TAKUKURU

    Hayo ni madaraka yanaghusa zaidi ufanisi katika carrier husika ondoa mawazo yako ya kuona kila alipo mwanajeshi basi yeye ni mkubwa kuliko wengine wanaomzunguka. Ingekuwa ni hivyo basi hata mawaziri wao wangekuwa wanajeshi wenzao mbona yupo Hussein Mwinyi sijui hata Jkt alienda lakini...
  10. Kakobee

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi TAKUKURU

    Watanzania wengi uelewa wetu katika masuala mbalimbali ya kitaalumu ni mdogo Tunaokoteleza stori mitaani mwisho wa siku mtu anakomalia kitu utadhani ana uhakika nacho bila kujua kuwa watu wanaoelewa wanamchila tu. Munawezaje kumshusha mtu aliyebobea katika utumishi katika taasisi...
  11. Kakobee

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi TAKUKURU

    Wewe unafikiri TAKUKURU kuna vita. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Kakobee

    Johh Heche amtaja Rais Magufuli kuwa shahidi yake namba moja katika kesi ya uchochezi

    Anajiriwaza tu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom