Tukiangalia kwa upana udini unatumika kuficha muovu...wale jamaa wameenea dunia nzima kwa jina la 'al shaab, boko haram, sijui IS na hawa woote unaskia eti ni waasi ndani ya nchi fulani, wote hawa kuna mfadhili wao..na ukiunganisha mistari kama ya buibui popote penye hayo majina chunguza ni nani...
Kwa uelewa wangu ni kwamba USA hawezi kupigana ana kwa ana.
Ndio maana ana majeshi kwenye nchi za wenzake kuwazunguka adui zake
Kitu ambacho hapendi na hataki ni chuma chochote cha kivita kugusa ardhi ya marekani, anachofanya ni kutumia mashinikizo ya kiuchumi aliyokwisha yaandaa miaka mingi...
Huko china na korea unaenda kutafuta nini mkuu, hizo nchi unazotaja kila moja inajimudu pekeake, mfano USA vs Taleban...sio kama hao dada wa west mpaka waunde kikoba kwaajili ya mrusi mmoja kumpiganisha na ndugu yake ukrain + vikwazo "pakeji"12 na bado utamu uko palepale..acha kabisa
Sipati...
Mdogoangu acha kukaa vijiwe vya wanawake na kupiga nao stori kama shost yao
Ile mentality ya kike inapunguza uzalishaji wa homoni zinazochochea kemikali za kudindisha mboo kwa muda mrefu...
Pili usiwe na mdomo cement+kokoto+mchanga, angalia demu unaeona unammudu kwa maongezi ya kingono mwambie...
Kipara anahama "pasenja seet" aruke hend brek, automatik gia na kukaa siti ya "dere"..anaona mda ni mchache...anashinikizwa na "konda" wao anaeelekeza vituo vya kupanda na kushuka, si mnajua alikuaga "dere" hapo kabla? anaona anachelewa kukusanya maokoto yake aliyoyaacha kipindi ameacha "udere"...
Ulishawahi kutambika mkuu? Km jibu ni yes...huna tofauti nae, kilichobadilika ww ulitambikia mizimu(evil spirits) yeye amejikabidhi kwa (heaven spirits)
Jinsi zilivyo ibada za matambiko ya nguvu za giza vivyohivyo na kukemea pepo wachafu no njia hiyohiyo kwa kada zote mkuu, maana hayo mapambano ni baina ya human & spirits
Kwakua ni mwanamke nakupa ushauri, badili kwa muda umsindikize kanisani kwao, ndoa ikishapita endelea kwenda parokiani kumpokea Yesu...sio dhambi..ukichelewa unawekwa pembeni anachukuliwa msabato bikra...(mm namfaham binti mmoja ana miaka 28 msabato ni bikra...wapo usikatae) Wasabato na waislam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.