Recent content by kakaye

  1. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA na CHAUMMA wasema hawatashiriki uchaguzi mdogo ujao hadi kasoro zilizojitokeza uchaguzi uliopita zitatuliwe

    Hapo mnaposusa ndo wenzenu wanapeta hawaangalii kususa kwenu ni wera wera kwa kwenda mbele.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Polepole amjibu Lowassa(CHADEMA) kuhusu kusamehewa kwa Babu Seya

    Kila wakati nasemaga kua kama una hasira usiwaguse watu na vyama vyao. Yaani hapa sina mbavu nisomapo haya malumbano.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani

    Aina za mipauo ya nyumba
  4. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wapigie idara ya ardhi na tanesco same utapata jibu la kutupatia
  5. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mbona ardhi ya wananchi wa same mjini mliochukua hamtulipi? Kilimo na ujnzi vyote vimesimama.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kama hautumii vyakula hivi, nguvu za kiume utazisikia redioni

    Wadada wa dar wanalalamika sana
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wanaogiza Magari Japan, Kuweni Makini na Hii Kodi

    Ok hata hiyo used . mpaka kuingia mkononi mwangu ni sh?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wanaogiza Magari Japan, Kuweni Makini na Hii Kodi

    New from japan
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wanaogiza Magari Japan, Kuweni Makini na Hii Kodi

    Mimi naomba kujua bei ya r4 ukijumlisha mambo yote yaani mazagazaga ya wajanja na tra hadi liingie mkononi mwangu.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Waislam: Je, hamna Jaji aliyesomea sheria za kiislaum Tanzania?

    Una mkojo halali? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kipandauso (migraine): Chanzo, Dalili, Tiba na jinsi ya kujikinga na tatizo hili

    Naomba msaada wa haraka kuhusu Dawa ya kipanda uso Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Mzio (Allergies) Mbalimbali: Visababishi, Madhara, Kinga na Tiba

    Paka mafuta mazito kabla hujavaa hiyo kondom Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    JamiiForums Tanzania Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

    Namba 11 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    JamiiForums Tanzania PSPF,mfuko pekee wa pensheni unaoweka mazingira ya wazi ya rushwa kutoka kwa wanaodai mafao!

    Inaelekea wewe ni mfanyakazi wa pspf . watu wanahangaika pia kuna watu waliomba mkopo wa kujiandaa kustafu na waligharamika kupitia hatua zote .hadi sasa ni miaka miwili hakuna kitu . Sent using Jamii Forums mobile app
  15. K

    JamiiForums Tanzania PSPF,mfuko pekee wa pensheni unaoweka mazingira ya wazi ya rushwa kutoka kwa wanaodai mafao!

    Kwani huo mfuko kuna watu bado wanajiunga nao? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom