Recent content by kakawat

  1. K

    JamiiForums Tanzania New salary scale bank officer

    Acha mbwembwe hiyo ni TELLER siyo cum, mshahara ni 450,000/= wa kuanzia ni wachache sana wanaoweza kulipa mia 5
  2. K

    JamiiForums Tanzania Barua za Kuomba Kazi

    Sijaelewa, hiki ni kitu gani?, mna copy na kupaste tu. HIKI NI KITU GANI?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta field attachment

    Pale dukani kwa shirima vp?jaribu usikate tamaa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nina kipaji cha kutunga nyimbo

    Dah kwa hiyo mistari siwezi poteza pesa yangu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfanyakazi mwenye uzoefu na kazi hii.

    Huko maguaje nani wa kutoka mjini?nenda misungwi, au kiabakari ukachukue wale wa elfu 30 kwa mwezi, wa mjini bei hutozimudu halafu magu!dah ngumu sana
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya tanapa ikoje wakuu

    Kukaa siti ya mbele pembeni ya dereva, haimaanishi umeshajua kuendesha,KUITWA INTERVIEW, UNAANZA KUULIZA MSHAHARA?kajibu maswali kwanza
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nina kipaji cha kutunga nyimbo

    Nitaamini vipi?kabla sijakubali kuwa mfadhili wako, ebu shusha mistari kidogo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Personal driver, mzoefu kuendesha wa mama wajawazito yupo....

    Acha mbwembwe wewe, unataka tujue una gari?KWELI MSWAHILI AKIPATA.................... MBWATA
  9. K

    JamiiForums Tanzania Personal driver, mzoefu kuendesha wa mama wajawazito yupo....

    Huyo siyo mwaminifu, yaani hakujali kama mkeo ana mimba, bado akamnyatia?dah piga chini huyo
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msichana anahitajika kufanya secretarial duties and sales

    Muongo mkubwa wewe unatafuta demu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa

    Ilikuwa lazima upate kwani wewe ni mtoto wa mkandala
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa clinical officer ngazi ya diploma

    150,000/= after deductions, hutaki nenda kafungue kituo chako
  13. K

    JamiiForums Tanzania Graphics Designer aliyetayari kufanya hii kazi tuwasiliane haraka sana

    mimi naweza tengeneza, nakuwekea na watu wanacheza muziki huku wakipata vinywaji, UNABISHA?SEMA SU UONE
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kujiunga na jkt 2013

    Muulize Zitto Kabwe au mtoro Nyambari Nyangwine
  15. K

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI MARRIOTT HOTELS...is it a scam?

    Kwenda zako huko, nia yako ya kutaka kuona wenzako tuna andikaje Cv tumeishtukia, hatutumi ng'o, chukua ndugu zako
Back
Top Bottom