Wakumbushe kaka,sio wanakuja kazi kuongea wao kwa wao ,wanapigiana story za mjini,wanasumbua watu ooh kanichajie simu,wapi kuna bia?ukienda kuzika shiriki mwanzo mwisho,hapo ndo chimbuko letu,na ndo tutakapozikiwa,tuheshimu tunaowakuta,tabia ya kuwa bize na smartphone msibani na kupigiana stori...