Recent content by KAKA TANZANIA

  1. KAKA TANZANIA

    Diwani amcharukia Magufuli: Hakuna Mwananchi atakayefyeka bangi kwenye kata yangu

    Katibu mkuu akaniuliza "Hiiiii! kumbe IGP mna kikosi kazi kizuri namna hii?"]
  2. KAKA TANZANIA

    Sema neno lolote kwa wawakilishi wetu SIMBA NA YANGA kimataifa

    Kila la heri Al masr tuko pamoja,Niko natafakari mda si mrefu nitahamia huko,ili niunge vizuri juhudi mnazozifanya, huku nabanwa banwa sina Uhuru.
  3. KAKA TANZANIA

    Sheria ikifuata mkondo wake, CHADEMA kinaweza kufutiwa usajili

    Tatizo lenu! mnataka chama cha siasa kiendeshwe kama kikundi cha kwaya.mmesahau kama hao ni wanaharakati. kwani hao wanaojiita wanamapinduzi hayo mapinduzi yalifanyikia mezani au ofisini. kuna mambo yanatia hasira.
  4. KAKA TANZANIA

    Kimenuka Kinondoni: Mbowe na wanachadema waliokuwa wanaandamana kwenda ofisi za NEC, watawanywa kwa mabomu

    Hatuwezi kusema nchi ina maendeleo.ikiwa wanainchi wanakimbizwa kila siku na hao ndio walipa kodi wanao garamia uchaguzi! zinakuja siku zilizo mbaya ambazo jiwe halisalia juu ya jiwe lingine.
  5. KAKA TANZANIA

    GE2020 Uchaguzi 2020 Zanzibar: Prof. Mbarawa vs Dr. Mwinyi, nani namba zinambeba?

    Dr.H.Mwinyi anauwezekano mkubwa! Kwa sababu hatutaki kuwapa nchi ma prof.
  6. KAKA TANZANIA

    GE2020 Uchaguzi 2020 Zanzibar: Prof. Mbarawa vs Dr. Mwinyi, nani namba zinambeba?

    Dr.H.Mwinyi anauwezekano mkubwa! Kwa sababu hatutaki kuwapa nchi ma prof.
  7. KAKA TANZANIA

    Humphrey Polepole awaomba polisi, CHADEMA wasilinde kura

    Mkuu inabidi ! uvumilie tu! maana kuna mambo mengine ukisikia yanatia hasira.unashindwa kuelewa wale ni binadam au lah!.
  8. KAKA TANZANIA

    Roma umeishiwa mpaka umeibia nyimbo ya jeshi??

    Mkuu umenikosha sana! majibu murua na yanayojitoshereza. watu kama we we Ndiyo wanatakiwa humu GT.sio huyo mpuuzi wa kujua mambo.Fanya utume namba yako ya M.pesa niktumie japo ya supu mkuu.
  9. KAKA TANZANIA

    Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

    Kwani hujui kama ni wakili msomi?
  10. KAKA TANZANIA

    Sasa ni wazi Fatma Karume kuangukia pua kwenye kesi ya madai ya bilioni moja

    Mkuu unajua taratibu za ukamataji lakini sio unaongea tu coz una kidploma cha sheria! hata ingekuwa Ten billion.
Back
Top Bottom