KANUNI:mafanikio ni popote.
Usikurukupe kwenda sehemu kwa kufikiria kuwa utakuta bakuli la mafanikio kirahisirahisi.
Usiilaani sehemu kama ndiyo kikwazo ktk mafanikio yako,angalia miundombinu ya kichwani imekaaje kukabiliana na changamoto na pia kutumia fursa zinazokuzunguuka.
WENGI tuna uanaharakati ambao hauupi kipaumbele uzalendo na utaifa wetu.Tusisukumwe na matatizo yetu kuwa wanaharakati,bali tufanye harakati tukiwa na free mind kutatua yanayoisibu jamii.Ndio maana mtu makini hawezi kuunga mkono harakati zozote zinazoigawa ama kuidhoofisha jamii.Wananchi...
Daa!!Hiki kitu kilinitokea safari moja.dada mmoja wa kizungu alitaka nimbebee kamzigo kake,halafu nimpe nikishapita sehemu ya ukaguzi,ktk jengo la kusubiria usafiri.pengine aliniona mi kama dogo,sitakuwa na "noma" lakini hakujua mimi ni mtoto wa "uswazi",michezo ya kariakoo naijua.NILIMWAMBIA...
Kama haya ndiyo maoni halisi ya watu ,basi tuna njia ndefu sana ya kuelekea tunakotaka kufika.Nilichokiona hapa, ni mawazo mgando kwa asilimia 99.99.Bora tufe ,wazaliwe wengine.MASKINI WEEEE!!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.