Mwenyekioo cha hii simu anicheki haraka, Kiwe used. Offer chini ya 100k. Maeneo ya Dar, Moro na Dom tunaweza kuwasaliana kwa haraka zaidi. Mawasiliano 0715175518.
SITE INAUZWA
MAHALI: MSIGANI-MADALE, DAR ES SALAAM
KM 6 KUTOKA TEGETA KIBAONI
BEI 26M
Contact 0767175518
KUNA FRAME TATU ZA BIASHARA
PIA
SITE INA
vyumba vitatu viwili ni self contained
ukubwa wa vyumba ni 4 kwa 3 mita viwili, na 3 kwa 3 kimoja
Pia kuna choo kimoja cha public
Jiko
DH na...
MAHALI: MSIGANI-MADALE, DAR ES SALAAM
KM 6 KUTOKA TEGETA KIBAONI
BEI 30M
Contact 0686621567 mwenye Site (KAKA SAI) kwa mnunuzi tu mwenye nia
KUNA FRAME TATU ZA BIASHARA
SITE INA
vyumba vitatu viwili ni self contained
ukubwa wa vyumba ni 4 kwa 3 mita viwili na 3 kwa tatu kimoja
Pia kuna choo...
Kwa mtu Mwenye ufahamu juu ya PGDE naomba anijuze kama mtu Mwenye Bachelor Degree kutoka fani zingne kama Civil Engineering, IT n. K anawezaje kuchukua Masomo ya kufundishia pindi akihitimu PGDE yake,
Mfano IT shule nyingi serikalini hazina Somo la Tehama, ataweza kufundisha Somo lipi lingine...
Zamani kulikuwa Kuna ordinary diploma tuu... Sasa imeongezeka higher diploma ambapo Muhitimu wa form Six Mwenye ufaulu wa atleast E mbili ndo anaweza kusoma higher diploma.
Hvyo kusoma Advanced diploma kwa form Six lazima iwe juu ya higher diploma... Muhitimu yapaswa kupata atleast D mbil ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.