Kuna mchawi mmoja katika kijiji kimoja, jina la Kijiji limehifadhiwa. Huyu mchawi aliua vijana wengi sana, kwa mfano Kijana akija mjini siku akirudi nyumbani na kupeleka zawadi kwa wazazi wake, asipo mpelekea na yeye, ni kosa unastahili kufa au hata ukipeleka zawadi kwa wazazi inayozidi ya...
Kustaafu u-boda boda (Maafisa usafirishaji) ni kupata kilema au kufa. Mi naomba kuonyeshwa mtoto wa Kiongozi yoyote, hata wa nyumba ndogo ya viongozi ambaye ni bodaboda (mbado, nasema mbado).
Tulikuwa tunaita roketi, tuliambiwa imeundwa mahsusi kusafirisha almasi/dhahabu toka Afrika Kusini kwenda Ulaya na haiwezi kutua kiwanja chochote ila ina viwanja vyake maalum
Akawe msemaji wa timu ya Mlalo academy, uwaziri hawezi. Kama kweli angekuwa anatambua yanayoendelea kwenye Wizara yake angetuambia amekwama wapi. Umeme ni kutwa nzima hakuna lakini waziri yupo, Wizara ipo na TANESCO ipo.
Hivi tukirudisha Wapemba wote kwao watakaa wapi huko? Kwanza wakiondoka meneo mengi ya biashara yatabaki wazi kwaajili ya Wabara walioko huko na Haki ya mama wakisikia wapemba wamerudi kwao, fasta watrudi bara kufanya biashara zao. Ukifanya biashara na Mpemba ni ushirikikina, kwenda mbele sema...
Inasikitisha kuona nyara za serilkali zinakamatwa ikiwa tayari zimevunwa, iki maanisha wanyama wameshauwawa nyama, ngozi na pembe zao kunyofolewa.
Najiuliza, ng'ombe wa wafugaji wanaingia porini kimyakimya lakini wanawasikia na kukamata, majangili wanaingia kwa magari yenye mingurumo na kuuwa...
kama
Kama sikosei ilitokea wakati wa vita vya kugombea urithi wa Mtume kati ya Mjomba na Mjukuu sijui Kitukuu, wale walioshindwa vita wengi walikimbilia pwani ya Afrika hususan Afrika mashariki na visiwa vya bahari ya Hindi. Hao wakaacha kuutmia majina ya koo zao ili wasijulikane wako upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.