Kwa kweli, mambo ya takwimu yanahitaji umakini mkubwa sana.
Karibu ndugu Invigilator Themagufulianz kuona chanzo cha mtoa takwimu
IROKOS @ King Kong III
Nafikiri kuacha habari ambazo vyanzo vyake haviaminiki sio vyema. Unaweza ukaona hata Gazeti la Mwananchi limenukuu kauli ya Waziri Mkuu. Kwa hiyo ilikuwa na fact checking, wala hakuna mashindano
Inaonekana idadi ya watu waliotazama tukio la msiba wa Dr. Magufuli kwa dunia nzima limetolewa kupitia ukurasa wa Twitter hapa
Mtu aliyetamka au kuandika hizo takwimu anapatikana katika ukurasa wake wa Twitter hapa
https://twitter.com/SirNeoBranson
Kwa uchunguzi wangu mdogo, huyu mtu...
Ngumu kumeza..
Na 'mikutano' mingine ambayo 'video' zake hazijapatikana ??? Hatujui mawazo haya yameingia kiasi gani mioyoni mwa watanzania!!
lakini "why all this?"...
Ingawa kweli umetumia lugha kali, nafikiri huo ndio ukweli.
Kabla hata ya kumkubali huyo mtu ulitakiwa ufikirie umri wake. Sasa umempotezea muda (naamini hata pesa) akijpa matumaini kwamba atakuoa kumbe wewe una waza mambo ya umri.
Kama unaridhika naye, olewa naye tu...
(Lakini hilo swali...
Pole ya nini tena ?? Anastahili hongera.
Mkuu hauna tatizo lolote, na uko vizuri tu. Fikiria mipango ya kuoa tu uwe na wako peke yako.
Wapo waliokaa hadi miaka 40, wengine haoi kabisa (mapadri). Ni uamuzi tu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.