Mzee safi sana hana makuu kabisa mzee wa watu, si mwingi wa maneno ila vitendo anavijua itabidi awe mentor wangu huyu maana bila hivyo chama wataachiwa watu wa ovyo kweli
Mkishatoka oparesheni UKUTA anzisheni oparesheni UKUDA maana nyie ni wakuda balaa hamjielewagi sijui nani aliwaroga, itabidi nimuite mshenga awaaombee
Eti vinasema mahakama inaingiliwa tena vinasema wanasheria wao waangalie mambo ya kisheria hivi hayo mambo ya kisheria vitayapeleka chooni...
Umaarufu wa kuchangia makanisa na misikiti kwa sasa umeshuka....Ila umaarufu kwa makamanda wa viroba unazidi kupaa maana hata wakitoswa na mademu zao wanahisi kwa sababu jamaa yao aliukosa urais
Yupo kwenye vichwa vyao na mioyo yao daima milele kama posho itapatikana
Kiswali cha hicho, eti kinasema hali tete ya uchumi halafu ungechagua chama gani. Yaan mtu anatumia variables mbili ambazo hazina direct relationship kwa maisha ya mtu mmoja mmoja. We ndugu piga kazi uliowachagua wanatafuta hela na wewe tafuta hela mzee acha kulalamika acha watu waendelee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.