Recent content by Kaka jambazi 9

  1. Kaka jambazi 9

    Sababu za tatizo la kutokwa na damu puani (Mhina), jinsi ya kuzuia na tiba yake

    Haitoki kwa staili hio yani nikitoa kamasi huwa na damu tyr
  2. Kaka jambazi 9

    Sababu za tatizo la kutokwa na damu puani (Mhina), jinsi ya kuzuia na tiba yake

    Mimi Nina shida ya kutokwa na damu puani, tena cjui kama mda huo ndo inatoka ila nikipenga kamasi huwa inatoka na damu sasa cjajua happy shida ni nini wapendwa
  3. Kaka jambazi 9

    Naomba ushauri kuhusu kozi ya Bachelor in Roads and Railway Logistics and Management pale NIT

    Wadau naombeni ushauri kuhusu kozi ya bachelor degree in roads and railway logistics and management pale NIT. 1. kazi zake hapo baadae. Nina one ya 9 ya HGL
  4. Kaka jambazi 9

    Nataka kusoma kozi ya health system management

    Naombeni ushauri, Nataka kusoma kozi ya health system management pale mzumbe, Nina one ya 9 Je ipo vizuri na naweza pata nafasi?
  5. Kaka jambazi 9

    University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    Nina one ya 9 ya HGL. udsm naweza soma course gani
  6. Kaka jambazi 9

    Kwa matokeo ya Div 1 ya 9 naweza soma Sheria UDSM na Mzumbe

    Aah nashukuru ila nimeangalia ika kuna watu wananiambia UD wanataka one ya Saba kusomea sheria
  7. Kaka jambazi 9

    The Law School of Tanzania - Maswali na majibu

    Jaman naitaji msaada nataka kusomea sheria Nina one ya 9 naweza pata chuo kipi
  8. Kaka jambazi 9

    Kwa matokeo ya Div 1 ya 9 naweza soma Sheria UDSM na Mzumbe

    Jaman naombeni msaada na ushauri pia mm ni muhitimu wa kidto cha sita 2021 na nimepata dvsion 1ya 9 nataka kusomea sheria UDSM au Mzumbe je inawezekana?
Back
Top Bottom