Zaburi 20 : 7 "Hawa wanataja magari na hawa farasi, bali sisi tutalitaja jina la Bwana Mungu wetu"
2 Wakorintho 4 : 18 "Tusiviangalie vinavyoonekana ila visivyoonekana, kwa maana vinavyoonekana ni vya muda tu bali visivyoonekana ni vya milele"
Thread 'Lugha ya Taifa(Kiswahili Sanifu) hatarini kuanguka' SoC03 - Lugha ya Taifa(Kiswahili Sanifu) hatarini kuanguka
Thread 'Lugha ya Taifa(Kiswahili Sanifu) hatarini kuanguka' SoC03 - Lugha ya Taifa(Kiswahili Sanifu) hatarini kuanguka
Andiko liko sawa, pia unaombwa kura yako na hapa Thread 'Lugha ya Taifa(Kiswahili Sanifu) hatarini kuanguka' SoC03 - Lugha ya Taifa(Kiswahili Sanifu) hatarini kuanguka
Nakukaribisha wewe kuweza kusoma na kupigia kura yako katika andiko hili ili mkombozi ufanyike juu ya lugha yetu tamu ya Kiswahili. Sehemu ya kupigia kura ni hapo chini mwisho wa chapisho kuna sehemu imeandikwa vote, bonyesha hapo na kwa kufanya hivyo utakuwa tayari umepiga kura yako.
Shukrani sana ndugu yangu Numbisa kwa mchango wako, nimependa hiyo iko sawa, nakukaribisha kutoa kura yako na kusaidia kwambaa kwa wengine pia ili tuiokoe lugha yetu dhidi ya anguko kuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.