EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Mimi mistari yangu hii 👇🏻👇🏻👇🏻
Umenimbusha huu mstariIsaya 48:22 Hapana amani kwa wabaya, asema BWANA.
1 Mambo ya Nyakati 4:10
Huyo Yabesi akamlingana Mungu wa Israeli, akisema, Lau kwamba ungenibarikia kweli kweli, na kunizidishia hozi yangu, na mkono wako ungekuwa pamoja nami, nawe ungenilinda na uovu, ili usiwe kwa huzuni yangu! Naye Mungu akamjalia hayo aliyoyaomba.
Utarudi rudi tu 🤣🤣Kabla sijaachana na dini nilikua napenda mstari wa utaijua kweli na kweli itakuweka huru yohana 8:32. Hii ni kanuni ya maisha, haihusiani na dini, ukweli siku zote humuweka mtu huru.
Dini ni utapeli kama utapeli mwingine boss.Utarudi rudi tu 🤣🤣
Mkuu nikumbushe story ya nambii mzee🥰🥰2 Fal 4:8-11,14-16
Ilikuwa siku moja, Elisha alikwenda Shunemu; na huko kulikuwa na mwanamke mmoja mwenye cheo; naye akamshurutisha aje ale chakula. Ikawa kila alipopita njia ile, huingia kula chakula. Yule mwanamke akamwambia mumewe, Tazama, mimi naona ya kuwa mtu huyu apitaye kwetu mara kwa mara ni mtu mtakatifu wa Mungu.
Nakuomba, tumfanyie chumba kidogo ukutani; na ndani yake tumwekee kitanda, na meza, na kiti, na kinara cha taa na itakuwa, atujiapo, ataingia humo. Ikawa siku moja akafikia huko, akaingia katika chumba kile akalala. Akasema, Basi, atendewe nini? Gehazi akajibu, Hakika hana mwana, na mumewe ni mzee. Akamwambia, Kamwite. Naye alipokwisha kuitwa, akasimama mlangoni. Akasema, Panapo wakati huu mwakani, utamkumbatia mwana.
Nilicho jifunza kwenye somo hili ni wakati tunafikiria kujenga nyumba za makazi yetu tusisahau kuweka chumba cha wageni.
Hawa ndugu hawakua na Sehemu ya mgeni katika nyumba yao, na walipo fikiwa na mgeni wa faida iliwabidi waingie gharama ya kujenga chumba cha wageni.
Wageni ni wenye faida , na hatutaweza kuishi bila kufikiwa na wageni, na hata sisi wakati fulani tutakuwa wageni katika makazi ya watu.
Na pia huwenda mafanikio yako yakawa juu ya mgeni atakaye fika kwako, na kupokelewa vizuri, lile neno la baraka atakalo litamka huwezi juwa litaacha athari chanya kiasi gani kama hio familia hapo juu.
2Wafalme 132 Fal 4:8-11,14-16

Ndio kuna visa vizuri kwenye hio sura, mathalani ile ya maiti iliyoangukia kwenye mifupa ya Elisha na kufufuka.2Wafalme 13
Kuna story tamu sana
Amina2 Fal 4:8-11,14-16