Kila jambo lina mwisho wake. Sio kwenye siasa tu , hata kwenye maisha mengine hali ndio iPo hivyo. Iwe kwenye mpira, muziki, maofisini na sehemu yoyote. Mamlaka yana mwisho wake,.
Siungani na huo utaratibu wa kipuuzi ambao unataka kuanzishwa. Yani mtu afanye makosa ya kiutendaji wakati wa kutekeleza majukumu yake ya msingi , then aje aombe radhi kwa maandishi. kwahiyo itakuwa kila goli likifungwa tunatafuta nani kasababisha ili nae aje atuombe radhi. kitu cha msingi...
Sio kwenye mpira tu, bali kwenye kila jambo mafanikio yanahitaji mipango.. Marekani wana PESA ndio, Afrika tuna VIPAJI ndio, ila wenzetu Ulaya wana MIPANGO.. ukiwa na mipango utatengeneza mikakati ya kufanikiwa kulingana na mazingira uliyopo.
ina maana kufunga mechi ya fainali tu ndio ameona kigezo muhimu?
Asiweke mahaba yake kwa mchezaji anayechezea timu yake ya zamani na kutaka wote tuyafuate
Wabongo kwa nongwa hawajambo. Yani dogo bado hajaanza hata majaribio kuona kama atafanikiwa au lah. tayari wabongo washaanza kumsema eti hana mwili wa boli.
we naye umekuja tu kuandika bila hata kuwa na Tathmini ya kina. yani kutofanya vizuri Chan ndio kigezo cha ligi kushuka kiwango?
Nani amekwambia ligi inachezwa na wachezaji wazawa pakee? halafu kufungwa kuna sababu nyingi , sio uwezo mdogo tu.
Inaweza kuwa kukosa muunganiko au mbinu hafifu...
Wakuu kwa yeyote mwenye kufahamu sababu iliyofanya Azam Fc kuwa timu pekee kutoka ukanda huu wa Afrika mashariki kuanzia round ya kwanza kombe la shirikisho, ilhali hata Simba ambaye wachambuzi wengi walikuwa wameshatuaminisha kuwa ataanzia hatua ya kwanza nae ameanzia hatua ya awali kombe la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.