Recent content by kajuna20

  1. kajuna20

    JamiiForums Tanzania Zijue Sifa na Majukumu ya Mkuu wa Mkoa kisheria hapa Tanzania

    Nimepata uzi kwenye fb unahusu moja ya vigezo vya kuwa mtumishi wa umma kwa DC .RC katika serikali ya 3 kuwa viliwekwa vigezo ila kimojawapo ikiwa ni lazima DC/RC awe na walau degree 1 kwa wanao jua zaidi tuwekeeni wazi imekaaje hii karibuni
  2. kajuna20

    JamiiForums Tanzania Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta!

    Wacha wamseme vyovyote sawa tu kuhusu yeye sio malaika umekosea nawewe kwanza yeye anajiona malaika hakosei ndomana hapendi kukosolewa yeye anajua kilakitu anaweza kilakitu mwache akae na bashite wake
  3. kajuna20

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki: Serikali haitomvumilia mtu mwenye vyeti feki

    Anza na makonda mama
  4. kajuna20

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hotuba ya Rais Magufuli kuhusu Makontena ya Mchanga, inatia shaka ya rule of state

    Hiyo lazima tujiandae kwa hilo Kwani jk alipo staafu hakuacha tafiti na malengo ya badae na mikataba mezani? Au mkuu alipofika aliyatia kabatini akamua kuja nayake? Angeanza na tafiti za mwenzie angalie wapi afanyie kazi kupitia kwa mzee wake ingekua poa
  5. kajuna20

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hotuba ya Rais Magufuli kuhusu Makontena ya Mchanga, inatia shaka ya rule of state

    Mtu mwenyewe ni mtukufu hashauliki ana ufunuo anachosema yeye ndo sawa hakosei yule kwanza from kachukua mwenyewe kilakitu anapanga mwenyewe hataki ushauli wa mtu
  6. kajuna20

    JamiiForums Tanzania Kudra N: Rais Magufuli ameota mapembe, hamsikilizi yeyote

    Asante mkuu binafsi nimekuelewa msg sent
  7. kajuna20

    JamiiForums Tanzania Kudra N: Rais Magufuli ameota mapembe, hamsikilizi yeyote

    Asante mkuu binafsi nimekuelewa msg sent
  8. kajuna20

    JamiiForums Tanzania CCM Wateua Makatibu Wakuu wa Mikoa na Wilaya; Kinana hajarudi. Makonda atajwa...

    Endeleeni kuigiza tukutane 2020
  9. kajuna20

    JamiiForums Tanzania Ubunge Afrika Mashariki: Mgogoro Mzito ndani ya CHADEMA waibuka

    Umemsikia kimambi ? Anaomba afahamishwe kinana yupo hospitali gani india na wodi yangapi? Anataka akamjulie hali
  10. kajuna20

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa tume ya Nape dhidi ya Makonda

    Hapa mimi naona porojo tu eti nape toka mwanzo kakosea hata kabla ya tume kuundwa. ...na makonda je ? Make chanzo cha yote ni makonda Mchunguze kwanza huyo kama alikua sahihi na alicho fanya pale coulds?
  11. kajuna20

    JamiiForums Tanzania RPC Kaganda:Sikuzuia mkutano wa Nape na waandishi wa habari

    Ok hukuzuia doctor silaa alipo jiuzuru chadema alifanya mkutano na waandishi wa habari hatukuona haya. Lipumba kadhalika hatukuona Vilevile nape alizungumza na waandishi wa habari hatukuona ulinzi wa aina hii inakuaje huu ulinzi wa kumzuia mtu asishuke kwenye gari mpaka kushikiwa bastola ati...
  12. kajuna20

    JamiiForums Tanzania RPC Kaganda:Sikuzuia mkutano wa Nape na waandishi wa habari

    Unajua watanzania tushageuzwa mazuzu watu wa zero tu kila kitu tupo zero no ndugu kusoma hatjui hata picha ! Kila mtu aliona na kama uchunguzi mbona huyo askari hakuwa pekeake ? Kulikuwa na askari wengine tumeona kwenye vidio na anaonekana uso kabisa mpaka kitenge alishuhudia iyo ishu
  13. kajuna20

    JamiiForums Tanzania Mwigulu hili hapana

    Mwigulu nchemba ndugu yangu usijaribu kama unaweza jitoe mzima mzima kama nape simamia haki but jiandae nawewe jutumbuliwa
  14. kajuna20

    JamiiForums Tanzania Watanzania watakiwa kumuunga mkono Rais Magufuli

    Hakuna wakumuombea ajiombee mwenyewe
  15. kajuna20

    JamiiForums Tanzania Kibonde anamsifia rais kila jambo, kulikoni?

    Anataka ukuu wa wilaya
Back
Top Bottom