Recent content by kajuma

  1. K

    JamiiForums Ninafanya mazoezi je no vyakula gani vya kutumia ili kujaza misuli ya kifua na mikono

    unafanyakazi lakini?? au unataka kujaza misuli kwa chakula cha shikamoo baba
  2. K

    JamiiForums Tanzania Postal Bank, Tanga Branch tumechoka na huduma mbovu

    mimi walinileteaga ushenzi kwenye huduma zao mbovu, nikawaambia nataka kufunga akaunti, wakaniambia andika barua, nikaandika nikapewa vichenji vyangu muda huo huo nikaondoka. ilikuwa tawi la TPB Kariakoo. sasa niko NMB na NBC. mambo yanakwenda mdogo mdogo.
  3. K

    JamiiForums Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    tatizo mnapenda kulelewa. ndugai ni mtu wa msimamo ukifanya ushenzi anakunyoosha. pigeni kelele lkn habari ndio hiyo
  4. K

    JamiiForums Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    mnamatatizo nyie haya ndugai hafai mnafaa nyie. kama ndio basi kagombeeni 2020 nyie mnaofaa. mxiieeewww
  5. K

    JamiiForums Baba yangu ni mkatili. Ananifukuza na sina pa kulalamika, nabaki na huzuni

    naungana na wengine waliokushauri utoke hapo nyumbani ukajitegemee, kama huna pa kwenda ingia mtaani fanya kazi yoyote osha magari, lima vibarua upange chumba hata cha bei rahisi. utafute nyumba yako. hiyo ni ya babako na sio yenu. yani inaonekana wewe ni mzigo ndio maana unafukuzwa. sasa...
  6. K

    JamiiForums Naomba msaada: Nasumbuliwa sana na vibaka nyumbani kwangu

    fuga mbwa. hakuna mlinzi mzuri kama mbwa.
  7. K

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Raila Pledges to find More Miraa market in Tanzania

    Will his move stregthen the cooperation amongst the people of East Africa, Why should Oginga think the possiblity of a potential market of this deadly drug to our country. Why not Uganda or Rwanda. If this is true, then I am afraid we have timed bomb in the so called economic integration among...
  8. K

    JamiiForums Ikulu yakanusha uvumi wa Pinda.

    Ushauri wa bure 'Waende Loliondo wapate kikombe cha Babu'
Back
Top Bottom