Recent content by Kajuki J

  1. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi mtu akajiajiri ambapo hajawahi kuuza hata karanga? Serikali acheni porojo, toeni ajira kwa wahitimu

    Well said,kuna kazi kubwa sana kuelimisha vijana wa sasa wengi hawapendi kujituma kimwili na kiakili unaeza shangaa hapo ana smartphone ya laki kadhaa na vocha hakosi!!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Makomandoo wale wapo kwenye rank gani?

    "].n"][URL]n
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba Mbezi Tatedo unfinished

    Wakuu hii nyumba bado ipo bei imeshuka mpaka 33M naongeza picha za eneo wanunuzi wa ukweli wani PM.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mtanzania kwenye Guiness boook of Records

    umri sasa unaweza kujulikana kwa usahihi kwa vipimo hapo kwa mkemia mkuu Oceanroad mbona serengeti boys wanathibitishwa under 17 pale!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Lcd led plasma tv repair services

    Siwezi kujua part no sababu lazima kubomoa TV hiyo itakua kazi yako kama fundi fatilia hiyo model no niliyotoa utapata part no mkuu niko hapahapa Bongo town
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba Mbezi Tatedo unfinished

    Biashara haijafanyika mkuu endelea na michakato kwa pm
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba Mbezi Tatedo unfinished

    Business matters mtaji umekata mkuu ukinikopesha 10m kwa resonable interest against this colateral sitauza
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba Mbezi Tatedo unfinished

    Business matters mtaji umekata mkuu ukinikopesha 10m kwa resonable interest against this colateral sitauza
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba Mbezi Tatedo unfinished

    The business is negotiable mkuu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba Mbezi Tatedo unfinished

    Ni Squater lkn area nzuri majirani wamepima barabara mbele ya nyumba ukihitaji kiwanja ni 15 to 20m
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba Mbezi Tatedo unfinished

    Ni metres mkuu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba Mbezi Tatedo unfinished

    Pandisha kidogo mkuu tufanye biashara naenda site jioni nitakuletea picha zaidi simtank iko nyumba ya nyuma sio yangu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba Mbezi Tatedo unfinished

    Nashukuru kwa ofa mkuu ila bado uko chini km uko Dar kachungulie site utapandisha tu!
Back
Top Bottom