Recent content by kajugu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tusishabikie maamuzi ya kijinga kwasababu tu yamefanywa na Rais

    Sasa mbona hatoi suluhisho....wanashabikia tuibiwe...kisa tu rais ndo kazuia Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
  2. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Kabudi atoa somo la sheria Bungeni

    Shule aliyotoa si mchezo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi letu linaonyesha umahiri wa kupigwa na tofali zama hizi!? Hawaoni wenzao huko duniani?

    Jaribuni nyumbani zile show Alaf nor n.a. hizi kauli Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 kuhusu Kachero J. Edgar Hoover wa FBI

    Very interested....ila walipitia kiapo kikali. ..kutooa au kuolewa...basi hata part time mtoko. ..
  5. K

    JamiiForums Tanzania DC Hapi na kamati ya ulinzi na usalama wabaini magodauni na madanguro bubu Manzese

    Wabongo bana..wanajadili mavazi eti
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, timua huyu mkurugenzi wa TASAF

  7. K

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

    Nnimegundua chuki za watanzania ni kwa sababu ya visasi tu....eti walimtukana el...who is el by the way...yaan tuhuma ni kwa sababu ya reference fulani...mwishowe ukawa huyoooi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Pigo Kubwa kwa CHADEMA: Babu Duni Ameipiga Chini CHADEMA!

    Suala la muda tu..kila mmoja atarud alipotoka...itabaki skeleton tu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Maswali 3 au 4 ya Ugomvi: Kwa Wanaomlilia Maalim Seif...

    Ukawa nyumbu tu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa njoo Kusini na UKAWA tulipize kisasi cha dhulma za CCM

    We mmakonde vp...umedondoka mtini nn?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Bomu la Nyuklia: Jielimishe hapa

    formula ya nyuklia E=mc2
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini binadamu na wanyama wote wakiwa wanakata roho hutapatapa?

    lazima kutapatapa kwa sababu kiumbe kinabadilisha mfumo wake wa kuishi ..kwa hyo mwili bado unahitaji kupata ATP kama kawaida ..na kadri spidi ya kutapatapa inapokua kubwa ndo energy (ATP) inaisha haraka
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ajira za Umma ziwe za mkataba usiozidi miaka 3 na kwa Mihula Miwili tu

    Ujinga mtupu...kipima cha utendaji kazi kwa mtumishi wa umma ni ajira ya mkataba?sio wazo la Ukawa hili acha kusingizia watu.Somesha motto wako sio kuhesabu familia Fulani wote wafanyakazi wa umma...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Msuya atueleze aliko Sokoine

    Nadhani kauli ya msuya imewagusa wapambe Fulani kiasi kwamba leo wanakumbuka tuhuma zake...yaani bongo bana usiseme kitu..
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Prof Lipumba hakubaliki kuwa mgombea afaaye kuipeperusha bendera ya UKAWA ?

    tehe tehe...Lipumba anatisha
Back
Top Bottom